Jifunze siri ya kutenda miujiza (Mfano kutembea juu ya maji, kupaa angani n. k)

watu wakishashiba mchele kitumbo wanawaza ujinga ujinga tu kesho katembee pale ferry nakwambia utatajirika utamzidi hadi mo
 
Ngoja nijaribu leo,nikiweza moja kwa moja nakuja hapo magogoni kumletea mzee Makofuli majina ya wauza pembe za ndovu huku selous
 
nimeanza mda sana na nimeruka mara nyingi sana ......kuhusu kulinganisha hata yesu mwenyewe alisema ukiwa na IMANI utafanya zaidi hata kuliko aliyoyafanya yeye
Soma maandiko kwa tafakari ya kina. Km kweli unamuamini Mungu huwez kujiona kuwa unaweza kufanya mambo ya kumzidi Mungu. Bwana hatowaelekea wenye kiburi.
 
Back
Top Bottom