Jifunze siri ya kutenda miujiza (Mfano kutembea juu ya maji, kupaa angani n. k)

Mbona heading inatoa intro in reality lkn maelezo yapo katika ndoto?

Ina maana ukipaa unaanzia kulala?
Unafanya show mchana unaagiza kitanda?
 
headline na maelezo vyote vipo Sawa ... Kama umesoma na ukaelewa .
Ina maana ukipaa unaanzia kulala?
Unafanya show mchana unaagiza kitanda? [sijaelewa unamaanisha nini ?#
 
Then after,Unarudije katika hali ya kawaida,je ukirudisha fahamu zako za kawaida ukiwa umeshapaa labda angani huoni yaweza tokea ajali mbaya sana ya kuvunjika Mbavu,ama nkatua katikati ya pori na simba nje nje!!
 
Kuna shuhuda za watu walioonekana au kusikika wamefanya vitu ambavyo huonekana ni miujiza machoni mwa watu wengi... mfano kutembea juu ya maji,kupaa angani n. k. ambavyo tunaweza kusema ni vitu vinavyopingana na gravitation force lakini Kuna watu wameweza kuvifanya mfano Jesus christ, chriss Angel,Dynamo n. k
Je unaijua siri ya kutenda miujiza hii?... hata wewe ukiamua unaweza,,, ila kuna vitu viwili tu vya kuzingatia, ambavyo ni kuwa na MATUMAINI pamoja na IMANI ya kile utakachofanya .

JINSI YA KUFANYA.
Kwa watu ambao wana uwezo wa kutoka nje ya mwili au kufanya Astral projection hili swala litakuwa rahisi sana kwao kufanikisha
Hatua za kufuata ...
1.lala kwa ubavu wa kushoto huku kichwa chako kikiwa kimelalia kiganja chako cha mkono wa kushoto
2.jilegeze mpaka uwe kwenye hali ya kusinzia (lakini usilale usingizi )
3.jitahidi kuzuia au kutokuzingatia taswira au mawazo yeyote yanayokuja kwenye mawazo yako
4.elekeza uzingativu wa mawazo yako katika hali ya ndoto, yaani kipindi unachoelekea kulala usingizi hisi kama upo kwenye ndoto
5.unapofikia hatua ya kuhisi kama unataka kulala usingizi mzito, fuata hatua zifuatazo ...
Amka na ukae kitandani au sehemu uliyokuwa umelala zingatia kuwa makini kipindi unachoamka kwa maana kwamba inabidi uinuke au kuamka katika hali ya mtu anayeota usingizini, kwa sababu uwezo au nguvu zote zinafanyika katika hali ya kuwa katika ndoto, inuka na usimame wima kwa miguu na pia zingatia kuwa makini kipindi unaposimama ili usiweze kusimama/kurudi katika hali ya ukawaida kwa maana kwamba unakuwa kama mtu anaye weweseka ila unachokifanya unakielewa ... .. . sasa jaribu kuruka juu kidogo ukiwa na lengo la kuelea hewani kama unataka kupaa, kama ukiona unavyoruka huelei hewani lala tena halafu uzirudie hizo hatua.
ili jambo Kuna watakaoweza kulifanikisha kwa mara moja, wengine inaweza kuwachukua siku,wiki , mwezi na hata mwaka kulifanikisha... ila cha mhimu ni kuwa na MATUMAINI pamoja na IMANI ya kuwa unachokifanya kinawezekanika na hii itakufanya ufanikishe hili jambo kwa mda mfupi tu .
Kwa watakao fikia hatua ya kuruka na kuelea hewani watakuwa wamefanikiwa kuwa katika hali ya jinna state hivo wataweza kufanya chochote mfano kutembea juu ya maji, kuruka hewani au kuwa katika astral plane katika physical body na hii ni kwa sababu unakuwa katika jinna State , hivo utaweza kwenda mahali popote kwa mda mfupi (ikumbukwe kuwa katika astral plane time and space do not exist because everthing is eternal "now " and eternal "present ".
1455893497627.jpg
 
Unalinganisha uchawi na miujiza ya Yesu!!!
Utakuw ni wa imani potofu wewe
 
mkuu salimkabora ongea lolote hapo
 
headline na maelezo vyote vipo Sawa ... Kama umesoma na ukaelewa .
Ina maana ukipaa unaanzia kulala?
Unafanya show mchana unaagiza kitanda? [sijaelewa unamaanisha nini ?#
Labda tuanzie hapa...
Hii ukifanya kila m2 anakuona?
 
Hahahahaha impossible, huwezi ukawa unaota ndoto hlf unajitambua ufanye hvy vitu, ili mtu aote ndoto lzm ulale fofoooo ukitaka kusimama au kukaa lzm ushtuke kwenye usingizi.

Swali:- dynamo mbona analavitate akiwa hajalala, akiwa haoti, ila akiwa normal kbs?
 
Haya mambo ni ujanja ujanja tu hakuna cha miujiza wala nini kama huyo dainamoo anaonesha live ujanja wake sema Yesu alikua anabania ujanja wake ndio maana anaonekana kama Mungu ila siri ya mafanikio yake ni ujanja ujanja.
 
bullshit miujiza gani ya kuanza kuteseka teseka,hivi kwa binadam wa kawaida inawezekana vipi saa 7 au 8 usiku huna usingizi alafu usiwe na mawazo-jaribu hata kuamka kukojoa usiku kwa bahatui mbaya urudi kulala usingizi akakata utasutukia mawazo yanakuja tuu
 
Unalinganisha uchawi na miujiza ya Yesu!!!
Utakuw ni wa imani potofu wewe
Samahani ndugu... Hapana siongelei uchawi, labda Kama kwenye hii thread kuna sehemu niliyozungumzia uchawi unaweza kunionyesha .
 
bullshit miujiza gani ya kuanza kuteseka teseka,hivi kwa binadam wa kawaida inawezekana vipi saa 7 au 8 usiku huna usingizi alafu usiwe na mawazo-jaribu hata kuamka kukojoa usiku kwa bahatui mbaya urudi kulala usingizi akakata utasutukia mawazo yanakuja tuu
ni kweli haitawezekana kwa sababu ya hiyo bullshit ...
 
Back
Top Bottom