MAJIDAI ,vipi mkuu ulifanikiwa kusajili "DINI"? au ndo umeamua kutoka kivingine?
Mkuu The Prezident huku ni mbali hawawezi kuja na hizo ndege zao za ungo zitaanguka njiani kwa kuishiwa mafuta ya ndege.Ni mbali sana huku na kuna wachawi wa kizungu huku wataweza kuzizuia hizo ndege za ungo za kiafrika,zisiweze kuruka angani tena.
Hakuna kitu kama Sayansi ya Kiafrika. SHOCKING : Witch Doctors and Albinos - YouTubeJIFUNZE SAYANSI YA KIAFRIKA
WAZUNGU WANAITA UCHAWI, LAKINI SISI TUNAITA, SAYANSI YA KIAFRIKA
Hapana hatufundishi online