Jifunze namna ya kujikinga dhidi ya radi

Asante sana mkuu kwa majibu mazuri.
Mti ni mrefu hivyo radi hu strike sehemu zilizo protrude juu ya earth's surface.. Na ndio maana kuna point hapo juu unaambiwa kama upo eneo la wazi na hakuna sehemu ya kujificha basi chutama ili angalau upungue urefu kiasi inasaidia kuliko ukibaki umesimama
 
Niliwahi kuishi dodoma wakati fulani, radi za kule ni "kavu" na ni kali ingawa mvua hunyesha mara chache. Radi zilikuwa zinapiga mpaka unalisikia kabisa bweni linaanguka.
 
Elimu nzuri sana hii,ila nadhan ni kudra za Mungu tu maana kipindi nakua mvua ilikuwa ikinyesha mie na watoto wenzangu tulikuwa tunakimbizana huku tukijificha kwenye miti mirefu ila haikuwahi kutokea ajali mbaya.

Pia hata sasa hakuna anayezingatia haya hata kukiwa na radi za namna gani,just imagine mji kama wa Dar unakuta watu wanajikinga mvua chini ya miti siku hiyo ndezi mmoja pale Ilala Boma ameenda kujikinga mvua chini ya transformer.

Watu walimfurusha na mawe huku wakimlaum kwamba anataka awalaze gizani kama radi ingemchapa.elimu kama hii inafaa itolewe pia kwenye radio na tv stations ili kuwafikia wengi zaidi.
 
.. siku hiyo ndezi mmoja pale Ilala Boma ameenda kujikinga mvua chini ya transformer.watu walimfurusha na mawe huku wakimlaum kwamba anataka awalaze gizani kama radi ingemchapa.

Hapa umenivunja mbavu sana mkuu. At first nilidhani wanamfukuza kwa kujali usalama wa huyo mtu kumbe ni kuhofia kulala giza ha ha ha ha
 
..... siku hiyo ndezi mmoja pale Ilala Boma ameenda kujikinga mvua chini ya transformer.watu walimfurusha na mawe huku wakimlaum kwamba anataka awalaze gizani kama radi ingemchapa...

Hahahahaa wewe jamaa umetisha hapo .
 
Niliwahi kuishi dodoma wakati fulani, radi za kule ni "kavu" na ni kali ingawa mvua hunyesha mara chache. Radi zilikuwa zinapiga mpaka unalisikia kabisa bweni linaanguka.
Bweni linaangukaje?
 
Ni kwa nini wakati wa msimu wa mvua ndipo kunakuwa na radi zaidi kuliko wakati ambao siyo msimu wa mvua??
 
naomba ufafanuzi kwenye radi ambayo ikipiga Ardhini kisha hukufikia
 
Mti ni mrefu hivyo radi hu strike sehemu zilizo protrude juu ya earth's surface.. Na ndio maana kuna point hapo juu unaambiwa kama upo eneo la wazi na hakuna sehemu ya kujificha basi chutama ili angalau upungue urefu kiasi inasaidia kuliko ukibaki umesimama
Kuongezea hapo, miti ina moisture kwa hiyo inakuwa ni good conductor kuliko air ndio maana inapigwa sana na radi.
 
Mti ni mrefu hivyo radi hu strike sehemu zilizo protrude juu ya earth's surface.. Na ndio maana kuna point hapo juu unaambiwa kama upo eneo la wazi na hakuna sehemu ya kujificha basi chutama ili angalau upungue urefu kiasi inasaidia kuliko ukibaki umesimama
Nasikia au ulale kabisa chini
 
Back
Top Bottom