Jifunze ms excel for free

Jifunze ms excel for free

hermanm

Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
35
Reaction score
11
Habari zenu wanajamii...
Naona ni share hii site na nyie, kwa yeyote ambae angependa kujifunza MS Excel, Adobe, Visio etc ajaribu kuingia kwenye hii site: learningexpresslibrary.com

I hope ntakuwa nimemsaidia angalau mtu mmoja au wawili.

Asanteni
 
Mbona naombwa paaword ambayo sina unaweza saidia hapo, au inataka kuwa lazima uwe mwanafunzi sehemu fulani? naomba maelekezo zaidi.
 
ubarikiwe

Habari zenu wanajamii...
Naona ni share hii site na nyie, kwa yeyote ambae angependa kujifunza MS Excel, Adobe, Visio etc ajaribu kuingia kwenye hii site: learningexpresslibrary.com

I hope ntakuwa nimemsaidia angalau mtu mmoja au wawili.

Asanteni
 
Jamani samahanini wana jamii siku jua kama hii site haifunguki kila sehemu. Ila kuna site nyingine inaitwa coursera.org very good site. Haina excel but Ina different classes from American university na ni bure. Some classes wanatoa mpaka certificate

Asanteni
 
Back
Top Bottom