Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Dah sijawahi kupita humu hata kwa bahati mbaya bila ya kuniita mamito gfsonwin mwaka ungeisha sipajui humu mwe...
 
Last edited by a moderator:
Halafu mniambie niwapikie nini cha mkesha wa mwaka msiniambie baga wa pizza sababu sitaki kupika hivyo vitu mi napika vyakula vya kitz tu
 
chagua wewe unataka utupikie nini.
mimi ningechagua wali mboga mboga.
 
wajua kupika au mwenzangu na mie???hahahaha
Halafu mniambie niwapikie nini cha mkesha wa mwaka msiniambie baga wa pizza sababu sitaki kupika hivyo vitu mi napika vyakula vya kitz tu
 
haya jamani leo ni siku nyingine ambayo ninataka tupike mkate kwaajili ya familia.
mkate

mkate ni chakula ambacho huliwa wakati wa kufungua kinywa.hupikwa kwa kutumia unga wa ngano ama wa muhogo lakin huwa na kiasi kukubwa cha wanga na hivyo unapotumiwa kama kifungua kinywa hukusudiwa kumpatia mlaji nguvu na joto mwilini.

sasa tuangalie jinsi ya upish wa mkate.

mahaitaji:
a) unga wa ngano kg 1 (kwa familia yenye watu wengi let say 4)
b)hamira gm 50
c)mayai 4
d) chumvi kijiko kimoja cha chai
e)sukari nijiko 2 vya chakula
f) maziwa fresh robo l500 ml kama unauwezo kama la basi tumia maji.

njia.

1) chekecha unga wa ngano kwenye chekeche ili kuondoa particles kubwa pamoja na kuingiza hewa ndani ya chembe za unga.

2) weka hamira chumvi pamoja na suukari kisha koroga kwa mkono hadi uchanganyike vizuri kabisa.

3) koroga mayai yako 4 pembeni kwenye bakuli kisha mimina koroga yachanganyike ndipo uyamimine kwenye mchanganyiko wako uyachanganye kwa mikono.

4) tia maziwa kwenye mchanganyiko wako na kisha ukande unga kwa vidole vyako hadi ulainike uwe kama wa kupikia chapati. hakikisha wakat unaukanda usizidishe maji manake kadiri unga unavyozidi kuumuka ndivyo unavyozidi kuwa laini. wakati wa kukanda kunja vidole vyako vinne na uvitumie kukandia unga usitoboe unga kwa vidole kwani hautaukanda zaidi ya kuutoa hewa tu.

5) chukua chombo chako cha kukokea kipake blue band kwa ndani kisha kata unga kwa size ya chombo chako na uutengeneze kwa umbo la tin yako ndipo uuweke. kama huna baking tins za mkate waweza kutumia hata tin ya cake ila uzikate kwa maumbo ya mstatili. kama nacho hiki huna basi tumia sufuria yako ipake blue band ukate unga kwa umbo la viduara uueke ndani visiwe vikubwa sana yawe na umbo dogo la wastani tu.

6) washa oven yako kwa nyuzi joto 120 dk kabla, kisha weka chombo chako cha kuokea na funga mlango. subiria baada ya dk 30 mkate wako utakuwa umesha iva. ii kujua kama umeiva vizuri chukua kitu chenye ncha kali choma kwenye mkate basi kile chombo kikitoka kikavu jua mkate wako uko tayari.

zima jiko na toa mkate wako nje uweke pakavu ili upoe. kumbuka kwamba mkate kwa ajili ya afya hufaa uliwe siku moja baada ya kuokwa. hapa ahauwa na ladha nzuri zaid na huwa umesha lainika vya kutosha. usiufunike mkate wako kama bado haujapoa usije ukajaa mvuke. na usiuweke kwenye unyevu.
mkate huu waweza kuutumia kutengenezea sand wich ama kuliwa jinsi ulivyo tu.

haya basi nawatakieni mapish mazuri kwaajili ya sikukuu ya x-mass na mwaka mmpya.

mke mwezangu AshaDii nakuomba uwaekee ile picha ya mkate tunayopikaga nyumbani kwajili ya chai

Naam. Tunahitaji elimu kama hii. Ubarikiwe sana.
 
asante yaani umeeleweka sasa nitapataje hizo banking tins za mikate
 
Siyo cjui, najua sema cna tym, isitoshe kwan machef kaz yao nn?

huna tyme???mhh haya bana sie wenye time tutapika.
Halafu mie namfanyakazi ila hata siku 1 hapiki chakula labda jikoni tuwe wote anisaidie tu ila kupika nooo.
Labda hata kama mchana atapika cha peke yake ila eti kupika kusema huna mdaa mhhhh maisha ya kuigiza hayo.
Na mapishi kupika hata ujue kupika vipi ukiwa hupiki believe me lazima usahau ni kama verse za kwenye bible unatakiwa uzisome mara kwa mara ili usisahau
 
gfsonwin nitawapikia msijali kabisa
naona umemfurahisha mpaka mwanamalundi looo big up
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah amu bana, umeamua kunitolea uvivu eeh!!! huwa napika mara moja moja...ila recipes kibao sasa mtu utasahauje??? mie sina beki3 na wala sina mpango wa kuwa nao ktk maisha yangu..kwani uharibifu wao naujua!!!i do all my housework..kufua, kupika,usafi wa nyumba n.k...sema mara nyingi niko kwa road ndomana sipiki mara kwa mara ila nikiwepo na kama sijabanwa na ripoti basi napika.....ntakukaribisha homu nikupikie msosi mtamu hadi ugome kuondoka...hahahahah
huna tyme???mhh haya bana sie wenye time tutapika.
Halafu mie namfanyakazi ila hata siku 1 hapiki chakula labda jikoni tuwe wote anisaidie tu ila kupika nooo.
Labda hata kama mchana atapika cha peke yake ila eti kupika kusema huna mdaa mhhhh maisha ya kuigiza hayo.
Na mapishi kupika hata ujue kupika vipi ukiwa hupiki believe me lazima usahau ni kama verse za kwenye bible unatakiwa uzisome mara kwa mara ili usisahau
 
Last edited by a moderator:
Afadahali niletee ukiwa moto kabla Kaizer hajarudi toka Nyumba ndogo. Mi nashauri mngekuja huku kwangu. I am like King Mswati II the only difference mimi natoa full services kama zinavyotakiwa. Najua wewe na AshaDii won't regret. Mpango wangu nifikishe walau wake 10. Sasa hivi wako 8 na majina yao nitakwambia siku nyingine. Picha yao ya maandalizi ya kunipokea leo jioni wamenitumia sasa hivi, hii hapa:

Basketball-Wives-season-4-cast-20111.jpg

AshaDii wewe pekee ndo unanielewa. Hebu Mwambie Teacher gfsonwin mje naye basi. Njooni na huo mkate na chai ya hiriki na mdarasini. Hebu njoo kwanza my dear, are u ok?

superman-2.jpg

Babu Asprin unalalamika Upendeleo na Ubaguzi kwani na wewe unataka?

You are inside the baloon. Come outside and see life. Njooni wote na utagundua maisha ni mazuri na matamu zaidi ya ulivyozoea. Masharti na vigezo kuzingatiwa.

Mkuu Superman unataka kunivunjia ndoa au niaje arifu? FYI wake zangu AshaDii na gfsonwin hawaendi kokote

CC: Asprin, BADILI TABIA, Yummy, cacico
 
Last edited by a moderator:
hahahah! mnamwonea Kaizer wivu siyo?? mwenzenu huwa anafaidi zaid ya haya. hivi unajua sasa hivi anaandaliwa x-mass cake mwenzenu.

hahahah@ Superman bana unajua kumtoa nyoka pangoni kweli yaaani unachonga mashairi mazuri ili tu tujitose kwako sio?? ila sie Kaizer anatupa kila tukitakacho jamani lol!

Bora uanza kuwaelezea mapemaaaa.......yaani wanaume wazima mnavizia wake za watu jikoni kwen mapishi? Pitieni barazani mnikute! haaaa
 
Last edited by a moderator:
am yours forever hny!............love you swtlo.

BTW unajua wanetu Ronn M na mkewe jeneneke wanakuja kwenye new yr eve. na niliwahidi kula birian na mbuzi na wakasema wanataka mama yao mkubwa AshaDii awapikie sasa sijui umekumbuka kuleta yule mbuzi??

Usijali sweetlo nimeleta beberu aliyehasiwa kabisa atakuwa mtamuje sasa......wataaanza na kisusio asubuhi kisha AshaDii atawaaandalia ilo biriani...wewe na mimi tutakuwa tunavuta dompo mdogo mdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom