Jifunze kutengeneza mkorogo mzuri na usio na madhara kwa afya yako

Wifi nimeipenda hii lakini nimeogopa hapo kwenye weupe...ina maana hata kama mi mweusi napata weupe kwa maana kwamba inanichubua?
Na hilo litakuwa zoezi endelevu au baada ya hizo siku naweza kuacha na mabaka yasirudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weupe wa hapa sio huu wa uarabu wifi....
Weupe wa cream pozo tofauti na wa cream kali.
Uzuri unapaka kwenye mabaka au hata mwili mzima.
Ila kama unahofia kung'aa sana, paka serum ya kuondoa mabaka tu..ili ubaki na rangi yako wifi.
Hebu natural iachie misitu bhana
 
Nielekeze ya kuondoa mabaka tu bila kung'arisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushaambiwa ni mkorogo wa asili ambao hauna madhara sasa wewe unaleta mapovu hapa......pita kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wake wa maofisa wa TFDA.
Hahhahaha.....
Ngozi zetu, ashuo lao.
Acha tubabuke...tumeyataka mwenyewe
Wanajikutaga washauri wa ngozi pale Ocean road Cancer Institute
Pls non of your bness kupaka tupake cc kuumia uumie wewe..............kama haikuhusu pita kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama....tufanye yale yanayotupendeza.
Kila mtu na maamuzi yake.
Anayetaka ataufata na asietaka atajijua.
Hapa ni talk openly.....free forum mama.
Usijitegue tezi za koo bure kujibishana na mtu
 
Mamy majani ya mvuto yanapatikana wapi?
 
madame nielekeze dawa ya michirlizi maana imekaa km raman ya africa
Kusema ule ukweli michirizi kama michirizi haina dawa maalum ya kuondoa ikaisha kabisa.
Ila mie najua ya kupunguza tu... ila kadri unavyijitahidi ndivyo inapotea taratibu.
Huwa nilisikia wengi wakisema kuwa viazi mviringo ukivisaga kisha ukapakaa yale majimaji yake, huwa inasaidia sana sana.
Sikuwahi kujaribu ila waliojaribu wamesema angalau inapunguza kwa asilimia kadhaa.
Unasaga/parua pamoja na maganda yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…