Jifunze kupitia story hii, nili share mahali!!!

Jifunze kupitia story hii, nili share mahali!!!

safi sana hii kwa emotional stress relief!!

Ahsante kwa kutushirikisha nasi,..
 
Sweetie stone hakika neno la Mungu liwe moja ya nyenzo ktk kufankisha hli

Amen ni kweli kabisa peke yako huwezi jamani ni ngumu mnoo ktk hili inahitajika Msaada wa mungu akushike mkono la sivyo uzalendo utakushinda, binadam sisi tu wazaifu sana
 
Amen ni kweli kabisa peke yako huwezi jamani ni ngumu mnoo ktk hili inahitajika Msaada wa mungu akushike mkono la sivyo uzalendo utakushinda, binadam sisi tu wazaifu sana

Umenena vema, binadam tu miti mikavu!!
Lkn kwa imani tutashinda tuu
 
Dah... Nzur sana hii, kamwe....... hawezi ona chozi wala maumivu niliyonayo hadharani. Kila mara nikimkumbuka nalia moyoni au chumbbani. Ila nikikutana naye naachia tabasamu!!

Pokea like za kufa mtu......
 
Hii nzuri sana
Ukihuzunika unazidi kumpa adui nafasi na kuonesha udhaifu,meipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom