Jifunze kupitia story hii, nili share mahali!!!

Jifunze kupitia story hii, nili share mahali!!!

nimejifunza na shukran kwa darasa. Jf ni shule tosha.
Hongera mkuu kwa thread nzuurrriii
 
Dah... Nzur sana hii, kamwe....... hawezi ona chozi wala maumivu niliyonayo hadharani. Kila mara nikimkumbuka nalia moyoni au chumbbani. Ila nikikutana naye naachia tabasamu!!

Pokea like za kufa mtu......

Thanks charminglady, ufanikiwe ktk hili ulitendeapo kazi!!
 
Na ukitaka kummaliza zaidi onyesha hata kumsaidia katika jitihada zake za kukuudhi
 
Back
Top Bottom