Heshima Mkuu,
mzado .
Great thinkers walikuwa watata sana.Kuanzia kina Thales, Socrate, Aristotle, Plato, Anaximander, Seneca, Epictetus, Epicurus nk.
Walikuwa wabishi.Si huu ubishi wa kina sie
holoi poloi.Walibisha kwa Kutumia Mantiki, utashi na ubora wa Mazungumzo.Socrate alikuwa mbishi, Gallileo alikuwa mbishi.
Ubishi, Utata ya Maisha ya hawa Great Thinkers ndiyo uliowafanya kuwa wa kipekee hadi leo.Hivyo ulivyouliza ni kwanini Pythagoras hakutaka maandishi yake yaandikwe basi ni muendelezo tu wa Huu ubishi wao wa kutumia mantiki na si ushabiki.Ipo sababu ya msingi sana.
Kutakuwa na hoja za msingi (Kutoandikwa kwa Mafundisho yake) ila binafsi sifahamu ni kwanini.Ngoja tuwasubiri wajuzi watujuze zaidi.