Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Je inauwezo wa kubypass bios protected system?
Je inauwezo wa kubypass bios protected system?
Me kichwa kizito sijaelewa chochote hapa.
This is my best way of accessing protected pcOr you could run live disk with linux and access everything
nice trick.
Ku-bypass windows pasword sio ishu sana. Kwa mfano mimi PC yangu ina-password simple mfano 2013 lakini bado natumia BitLocker drive encryption ambayo naamini hadi sasa hamna mtu ambaye ameshawahi kuhack bitlocker encrypted drive.
Nnachokifanya sasa zile file za kawaida kama miziki, picha na document za kawaida zinakuwa kwenye my documents, my pics n.k. Halafu drive nyingine huwa zinatunza project na kazi nyingine za muhimu.