Mkuu hivi US30 Na Nas100. Zinamanishaa Nini??Kama hatuna hizo dola elfu 10, je tu trade us30 na Nas100 kwa mitaji midogo...?
Nazani unaweza kununua shares za stock, kama DSE yaani kama kuwekeza na pia unaweza bets/ speculate the prices movements of stocks, na ukapata faida.Unazungumzia kutrade kama forex au ku invest kama kwenda DES na kununua stock.
Hizo ni stock index zinazo track movements za stocks za makampuni ya kimarekani.Mkuu hivi US30 Na Nas100. Zinamanishaa Nini??
Umesema US30 na USTECH- ni indicator, sasa kupitia hizi indeces tuna speculates price movements ya indices au? maana kama ni indicator huwezi kuinvest kama indicators. kuinvest means unabuy na kuuza kitu so huwezi kununua indicators kwa sababu sio shares au bidhaa.Hizo ni stock index zinazo track movements za stocks za makampuni ya kimarekani.
US30 ni Dow jones Stock index ambayo imejumuisha makampuni 30 tu yanayotoka sekta mbalimbali ya kimarekani. Kupanda na kushuka kwa hii index huwa kama indicator ya namna uchumi wa Marekani unavyo perform.
NAS100 au USTEC ni another index pia ambayo imejumuisha stocks za makampuni 100 ya kimarekani.
Hizi index zinakupa uwezo wa kuinvest kwenye stocks za kimarekani bila ya kuzimiliki stocks zenyewe.
Niliposema hizo index ni economic indicators, sikumaanisha indicators kama RSI, Fibonacci, EMA.Umesema US30 na USTECH- ni indicator, sasa kupitia hizi indeces tuna speculates price movements ya indices au? maana kama ni indicator huwezi kuinvest kama indicators. kuinvest means unabuy na kuuza kitu so huwezi kununua indicators kwa sababu sio shares au bidhaa.
Mi huwa naispeculates hiyo us 30 na Nas100, kupitia kwa broker maana huwa ina more volatility japo in deeply huwa siilewi. huwa natumia market structures tu then nabets futre movements.
Kwenye andiko umezungumzia mtaji mrefu kidogo wa dola elfu 10 ambayo majority wanaweza wasiumudu. Lakini habari gani kama nina dola elfu moja...si ninaweza kutrade hizo stocks kupitia indexes?Nas100 zidhan kama utafika barakuda kama unatokea segerea chama, utakuwa hujauza akaunti.
safi mkuu kwa maelezo yako, naomba kuuliza index us30 na NASA100 zinapima prices ya shares zipi za makampuni ?Niliposema hizo index ni economic indicators, sikumaanisha indicators kama RSI, Fibonacci, EMA.
Nilikuwa na maana ya kuwa ukitaka kujua kama uchumi wa nchi fulani unakua vizuri au vibaya, unaweza kujua hilo kwa kuangalia stock index kama US30 na nyinginezo zinavyo perform. Us30 au Nas100 ikiwai ina trend upwards maana yake uchumi wa Marekani uko stable na una positive growth.
An index ni measure of something, hivyo basi index kama Nas100 ina measure movement ya stocks(Hisa) ya makampuni 100 yaliyomo kwenye huo mfuko.
Indexes zinakupa uwezo wa kutrade hisa za hayo makampuni bila kuzimiliki directly. So niki speculate kuwa hisa za makampuni ya us30 zitapanda basi na buy Us30 index.
Forex inakupa uwezo wa kutrade index as an asset. Index nyinginezo ni kama za ulaya na Asia kama Uk100, DE40 n.k
Unaweza kutrade hata index ya USD as an asset..yaani USDX. Kama ujuavyo huku kwetu tuna challenges kibao za kuweza ku nunua na kuuza hisa za Marekani, ni platform chache sana zinaturuhusu kufanya hivyo. Lakini index inakupa uwezo wa kutrade hisa za makampuni ya Marekani ingawa wewe ni non American citizen.
$10k , kwa stock ya $10 ; unapata 1000 . Ukiwa na hisa 1000 nirahisi kupata $10k - $50k ndani ya 1-5yrs. Ukiwa na hisa 100 naona kama muda unakuwa mwingi pesa kidogo.Kwenye andiko umezungumzia mtaji mrefu kidogo wa dola elfu 10 ambayo majority wanaweza wasiumudu. Lakini habari gani kama nina dola elfu moja...si ninaweza kutrade hizo stocks kupitia indexes?
Hilo ndiyo lilikuwa lengo la swali..achilia mbali issue za kuchoma account.