Jifunze kitu hapa - TRUE STORY

I can feel the suffering inside your friend's.Binafsi huwa nikikutana na marafiki zangu huwa naumia sanaa,maisha yao yamechange kabisa,wote huwa wanaishia kunihurumia na kunitia moyo.
Mkuu jaribu kufanya FOREX tafuta Uzi uliandikwa na Ontario kwenye jukwaa uchumi na biashara kaelezea vzur sana
 
Duuu wazee mpaka mnanitisha kwa kweli, sisi ambao hatujapitia changamoto kubwa kama hizi zaid ya za kujitakia while huna chochote kizuri ulichomfanyia Mungu unajiuliza....

Is it the matter of time?
Au n kwa kupitia wanaopata changamoto na sisi ndo tuwe faraja kwao?
Au n alama ya ukumbusho/onyo kwa waovu? Waache uovu kupitia hawa wanaoteseka ambao pengne n wasaf?

Hv unajua ya kua roho ya mtu anaijua mwenyewe?
Ulishawah kukaa na kuwaza ukajipma nakujisemea kua wewe n mtu wa namna gan? Whether Good one, Bad one au inbetween? Na nakuhakikishia wewe mwenyewe ndo unajua roho yako, waweza uwe mtu wakufanya mazuri machoni pa watu ila unajijua kbsa wewe si mtu mzuri, Binadam wanaweza wakuone mtu mbaya lakn mwenyewe ukawa unajua ya kua hupo hvyo ila tatzo linakuja hujapata mazingra ya kuonesha wema wako, hvyo unabak na ukweli wako.

KAMA UNASAKA MAISHA KWA UDI NA UVUMBA NA KATI YA MALENGO ULIYOJIWEKEA HUJAWAH KUWAZA KUWA MSAADA KWA BINADAMU WANAOPATA TAABU NA KUTAMAN KUA MSAADA KWAO AU UMESHAFANIKIWA NA HUFANY HIVI,

BAS JITAFAKARI NDUGU YANGU, MATESO YA WATU KAMA HAWA MSALABA WAO UTAUBEBA WEWE NA WEWE NDIE WAKUONEA HURUMA RIGHT NOW,

Mwisho kumbuka kumsaidia mtu sio Mpaka utakapofanikiwa, kama unasubria hivyo basi jitafakari pia, na kumbuka msaada ni kile ulicho na uwezo nacho ila sio ulichoombwa kwa mda huo
 
Wengine mpaka hapa tulipofikia ni kudra za Mungu tu, laiti nikiandika hapa tangu mimba yangu ilipotungwa mpaka sasa hivi nnapoandika comment hii ni machozi na huzuni.. "NAMPENDA SANA MAMA YANGU NA MUNGU AMJALIE MAISHA MAREFU AKIONE KIZAZI CHANGU NA ALE MATUNDA YA MTI ALIO UNYESHEA NA KUUTUNZA"
Amen
 
Uzidi kumuomba Mungu. Usijione una hatia katika maisha yako au familia maana mambo mengine huwa Mungu hupenda kutukuzwa. Tazama walemavu wa kuzaliwa au vipofu wa kuzaliwa hao wote Mungu kafanya jambo kwao ili atukuzwe.
Ukipata muda soma biblia kitabu cha wafilipi 4:4-7.
Mwambie Mungu hiyo ni kazi yake sio yako. Wewe jukumu lako ni kushukuru kwa kila jambo maana kuna maarifa uyapatayo na pia jukumu lako jingine ni kumwambia Mungu mahitaji yako.
Usilie wala kuhuzunika rafiki yangu.
 
Pole sana mkuu kwa changamoto unazopotia endelea Kungangana na Mungu ndie mwenye majibu ya maswali yote unayojiuliza
 
Aiseeeeeee inaumiza kweli, miaka ya nyuma sana nikiwa darasa la tatu dada yangu mkubwa akiwa anasoma tambaza kidato cha tano alikua na rafiki zake miongoni wa kiume mmoja ndio alikua mashine balaaa alikua anaitwa Emanuel... Kwao walikua vizuri sana kifedha ila ghafla maisha yakabadilika na jamaa akaanza kushuka performance hivyo hivyo ila akajisogeza hadi chuo akaingia mzumbe ila second year aka disco na habari yake ikaishia hapo. Akahangaika we hali haikukaa sawa, baba yake akafariki na sababu alikua na mama wa kambo na mama yake alishafariki basi akatengwa na home akatimuliwa mweupe. Wenzake wote wana life safiiiiiii ye jamaa yupo mtaani mara amenye viazi, afanyishwe usafi n.k mwezi wa nane bahati mbaya akiwa anavuka barabara pale korogwe kimara sijui alikua kajawa na mawazo sana akagongwa na mwendokasi akafariki hapo hapo
This life ain't fair at all
 
Pole sana mdau kwa yote yaliyokupata. kwa kifupi tu, hapa duniani tunapita na njia imejaa kila aina ya vikwazo, mtu wa kutatua vikwazo vilivyoko mbele yako ni wewe mwenyewe kwa kuwa umeisha jitambua sasa... Kama ule usemi usemao kuwa thamani ya dhahabu na mng aro wake ni baada ya kupita kwenye tanuru la moto.. Kwa hivyo mwanangu.... Inuka, simama, jinyooshe kisha ukun gute mavumbi kisha mdogo mdogo anza tena safari ya kurekebisha maisha yako. Kila la kheri ila usikate tamaa.
 
Jambo la kwanza usibaki kufikiria ulipotoka. Tambua kwamba kufikiria yaliyopita hakukusaidii lolote. Badala yake fikiria namna ya kujikwamua.

Jambo la pili MSHUKURU MUNGU (japo una matatizo kibao !!). Mshukuru Mungu kwamba alikupa uwezo kiakili (japo umefeli darasani). Mshukuru kwa sababu kilichofanyika mpaka familia yenu ikaharibikiwa hivyo ni mambo ya "ulimwengu wa roho" ni matokeo ya nguvu za giza. Waliofanya hayo walikuwa wanataka ufe kabisa lakini Mungu ndiye amekulinda. Kwa hiyo mshukuru Mungu. Mwamini Mungu; atakusaidia tu.

Funga kwa siku kadhaa kila wiki huku unatubu kwa makosa ambayo wewe na wanafamilia mlifanya (kwa kujua au kutojua).Tubu kwa ajili ya mambo ambayo labda baba yako alifanya yakamchukiza Mungu (labda alienda kwa waganga kupata hirizi za kufanyia biashara halafu zika expire au masharti yakakiukwa). Ukishatubu hivyo, Mungu ni mwema atasikia toba yako atatia mkono wake na hivyo vifungo ambavyo shetani amewawekea vitaondoka. Utajikuta hali yako inabadilika.

Kwa vile huna ajira, tafuta shughuli ya kujitolea KUSAIDIA WATU WENGINE (wala usitafute kulipwa). Utakavyosaidia wenzako ndivyo hivyo Mungu atakusaidia wewe. Huwezi kujua - kwenye kujitolea huko unaweza ukapata msaada ambao hukutarajia.
 
Hakika,nimekuwa na bahati sana kusoma andiko lako,barikiwa sanaaa kwa hekima hizi
 
Uzidi kumuomba Mungu. Usijione una hatia katika maisha yako au familia maana mambo mengine huwa Mungu hupenda kutukuzwa. Tazama walemavu wa kuzaliwa au vipofu wa kuzaliwa hao wote Mungu kafanya jambo kwao ili atukuzwe.
Ukipata muda soma biblia kitabu cha wafilipi 4:4-7.
Mwambie Mungu hiyo ni kazi yake sio yako. Wewe jukumu lako ni kushukuru kwa kila jambo maana kuna maarifa uyapatayo na pia jukumu lako jingine ni kumwambia Mungu mahitaji yako.
Usilie wala kuhuzunika rafiki yangu.

Amina mkuu
 
Bwana fox kutokana na maelezo yako mazuri inaonyesha vikwamo vyako na vya familia vipo kiroho. Kuna vifungo katika ulimwengu wa Kiroho ambavyo vinatakiwa kufanyiwa kazi. Usije shangaa baadae ukaja gundua kuwa wanao husika na vita hivi wakawa ni ndugu wa karibu kabisa katika familia, sijajua kuwa wewe ni mkristo au la hilo halijalishi. Tafuta uongozi wa kiroho kutoka kwa watumishi wa Mungu ili wakupe hekima na maarifa namna ya kupambana na vita hivi. Jua kuwa vita hii ni ngumu sana na unamuhitaji Mungu sana kuliko wakati wowote wa maisha yako.

Katika maombi utagundua mambo mengi sana na taratibu utaanza kukonect dots kutoka katika maisha yako ya udogoni, nyumbani kuhusu maisha ya wazazi na mambo ambayo wazazi walikuwa wakiongea na kukwambia. PIA usije shangaa kuwa wazazi wako wanahusika kwa anguko la familia kwa namna moja ama nyingine, kama ulivyosema kuwa baba alikuwa mfanya biasha mkubwa na maisha yalikuwa mazuri, inawezekana kuwa palikuwa na mikataba ya kishetani kwa ajili ya mafanikio ya kibiashara na makafara yalikuwa yakitolewa. sasa inawezekana baba alivunja mashariti ambayo ikawa ni sababu ya anguko la familia.

Unaweza uliza kuwa kwanini ikaathiri mpaka elimu ya watoto !!! YES yapo mashariti ambayo yalikuwa pia juu yenu, wakati mkiwa wadogo wazazi waliweza ku control maisha yenu ili msiweze vunja hayo masharti sasa baada ya kukua hasa wewe ambae ulitoka mbali na familia kuna vitu ulifanya ambavyo ni kinyume na masharti ya zindiko la baba ikachangia anguko zima la familia.

Kuna mambo mengi sana, haya nilioandika ni MTAZAMO wa kiroho kutokana na mtiririko wa kisa chako. Kama nilivyo sema inahitaji kujitoa kwa kiwango cha juu sana ili kuweza kufungua hii code iliyofungia maisha yenu. Inahitajika muongozo na msaada wa ROHO Mtakatifu katika kila hatua,
Ushauri mzuri huu aufanyie kazi
 
Back
Top Bottom