Jifunze kitu hapa - TRUE STORY

Jifunze kitu hapa - TRUE STORY

pole sana kwa yaliyokukuta hata hivyo sidhani tatizo ni kuwafundisha hao jirani zako..ila mafanikio yako!! Muda mwingine juhudi zako zinaweza kukuponza ukaishia pabaya kutokana na binadam tulivyo na roho za ajabu..mtegemee Mungu daima kwasababu hata watu wakikutakia mafanikio hawatataka uwazidi
 
Habari,

Nilizaliwa late 80’s ,Nimesoma mkoani na hakika watu wengi walinisifia kuwa nina uwezo mzuri darasani achilia mbali zawadi mbalimbali nlizokuwa nazipata shuleni enzi hizo,ilikuwa ni furaha sanaa kwangu na kwa familia yangu,Mimi ni mototo wa kwanza ktk familia ya watoto 5 na wengine niwa kike.

Nilimaliza msingi with flying colours nkapata nafasi mkoa mwingine shule ya boarding,nakumbuka tulifaulu 14 tu out of 288,nyumban watu hawakuisha kuja home niwafundishe masomo nakumbuka baba kuna siku alinyambia watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui-kwa wakati huo nilikuwa sijui mshua anamaanisha nini?
Baba alikuwa na hali nzuri na biashara zake zilikuwa zinaenda poa sanaaa,pesa kedekede na miradi mingi hapa na pale in short mambo yalikuwa poa sanaa,madogo walikuwa wanasoma shule nzuri nzuri tu

Baada ya kumaliza form six na kupata nafasi udsm nakumbuka mtaan nlikuwa naokekana km msomi flani hivi na vijana wengi walitolewa mifano kwangu yaan nkawa role model wa mtaa mzima.

Baada ya kupata nafasi udsm ndio massive changes zilianza kuonekana ktk familia yangu,baba alifilisika kabisa kabisa kila kukicha ni habari za kuibiwa na wafanyakazi wanakimbia ata wale ndugu zake alioamua kuwapa nafasi kumsaidia kazi zake nao walikengeuka na kusepa na mali zake within 6 months mzee alikuwa taaban sana,madogo wote wakarudishwa shule za serikali na waliokuwa sekondari walipelekwa shule za gharama za kawaida mambo yalichange vibaya sanaaa.Huku kwangu mambo yalikuwa magumu sanaa nilikuwa naumwa kichwa kila siku yani kichwa icho hakielezeki maumivu yake muda wote nipo room hall 5(room no2670) nimelala kwa maumivu ya kichwa daaah.

Despite kuwa one of the best in class,nlipofika mwaka wa pili nilidisco masomo tena kwa GPA kitu ambacho mpk leo huwa sikubaliani nacho period,nakumbuka semester ya kwanza nlikuwa na GPA ya 3.2 ila semester ya pili eti nilipata F masomo yote 8-hii siku mama yangu alilia sana tena mbele yangu,Mkuu wa department alikuwa ananijua uwezo wangu aliniita na kuniuliza imekuwaje ,sikuwa na cha kumueleza zaid ya kumwambia ata mm sijui,aliniomba niandike barua ya appeal ataisimami,baada ya muda nkasikia eti ameteuliwa mkuu mwingine wa department na habar yangu ikashia hapo

Nlirudi kitaa kusikilizia appeal yangu mpk leo naisubiri tu,pesa ya kusoma tena familia yangu hawakuwa nayo nikatafuta kazi ya ulinzi nikaanza kufanya na nlivopata pesa kidogo nkaapply chuo kimoja hapa t own,nlisoma kwa shida ambazo hazielezeki ata kidogo.Huko nyumban mambo yalikuwa worse ile mbaya watu wakawa wanatucheka na kushangaaa nini kimetokea though watu wengi waliamini kuna mchezo mchafu unafanyika ktk familia yangu so wazazi wawe macho wasilale wala nini.

Wadogo zangu wote waliishia form 4 aseee,tena wameyumba kiasi kwamba wawili wamezalishwa na hawana msaada wamekaa home tu hawana pa kwenda wala kitu cha kufanya,baba hana kazi ata shilling mia hana ameyumba kupita kiasi,mama yangu anapika mama ntilie bubu pale mtaani,huwa naumia sanaaa nkiona maisha ya nyumban sasa hivi.

Hapa nilipo sina kazi yeyote nazulula tu mjini,nlishaomba kazi nadhan sehemu zinafika 500 ila hola mpk leo the worse thing ni kuwa wale washkaji zangu udsm wameshakuwa na life bomba sanaaa sa hv ila mm nasaga jiwe tu-hii huwa inaniuma kwelikweli

Simshutumu mtu yeyote kwa chochote pengine ndo maisha tunayotakiwa kuishi .Nina mengi ya kuandika kiasi kwamba zinaweza kufika ata page 100 ila kwa leo naishia hapo ujumbe wangu hapa ni ule ule usemi aloniambia baba “watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui

Mwisho,Napenda niwaombe msamaha wote waliokumbwa na mawimbi kwa kuwa karibu na mm starting from Daddy ,najua mko wengine wengi sanaa mmeumia kwa njia moja au nyingene kwakuwa mko karibu yangu may be one day tutajua ukweli halisi what went wrong?.
Pole sana ndugu,,nilikua najiona Mimi nna matatizo kumbe kuna watu wanamatatizo kuliko Mimi....
 
Kila jaribu lina mlango wa kutokea,jipe moyo mkuu MUNGU atakuonekania,nakushauri kwa sasa tafuta kibarua cha kuwasaidia mafundi ujenzi ili uweze kupata hela ya mlo na sabuni wakati huo unaendelea kuangalia uwezekano wa kuwa na biashara ya kufanya,suala la ajira za kudumu ni gumu siku hizi.
 
Hao wenzio ulokua nao wasikuumize kichwa kabisa kisa wanaonekana wamesimama kimaisha. Na hilo ndio kosa linalokuumiza zaidi.

Screenshot_20210809_150243.jpg
 
Usikate tamaa ndugu, Mimi pia nimepitia story km yko. But ni kwa Mungu ndo yanawezekn japo level ya elimu nilinayo ni ndogo diploma. Ila mtumainie Mungu, I was the best from primary mpk nkachaguliwa special school. Ila miaka minne yote hyo minne niliugua sana, advance form five nkaugua Tb matibabu nilisaidiwa na mapadre maana msaada sikuwa nao, nilipomaliza treatment ya Tb form six nikachanganykiwa for one yr shule nkafutwa, nmekuja kujitambua wenzangu washamaliza advance na wamepangwa chuo kikuu. Wote wakanipotezea, sikukata tamaa nkabeba zege na kazi nyngnezo mpk nkaambuliwa kidiploma, nilichoajiriwa nacho serikalini. Bado inaniuma ila sijakata tamaa, hvyo nakuomba sahau yote pambana na kumtegemea Mungu
pole sana mkuu dah hivi vitu usikie tu mwenzio!
 
Ndio naona hii post mwaka huu 2021 August naiman Mungu atakua kakufungua...
Mkuu as long as umejua sababu ya matatizo yote hayo sasa chukua hatua ya kusali sana ukiweza fanya maombi ya kufunga hata siku moja tu inatosha sana... Usijihesabie dhambi ulizonazo wewe kuwa bize ktk kusali na kufanya kazi zako ipo siku isiyo na jina Mungu atakuonyesha baraka zako utaokoa familia yako kiuchumi na utawaibisha maadui na washirikina walioficha nyota zako...

Sisi tuliozaliwa wa kwanza ktk familia tuna maisha ya tabu sana hata tukifanikiwa ni changamoto mwanzo mwsho... Bahat mbaya au nzuri uwe na uwezo wa kiakili au nyota yako ina ng'aa hakika utaandamwa na nguv za giza hadi uhisi Mungu hayupo serious na wewe...
Na usipojitambua kuwa shetan kakuficha utaishia kufa kwa stress za kimaisha.

MUNGU asikie kilio cha 1st borns wote wanaopitia magumu afungue milango ya baraka... Amen
 
Mkuu... ...

Kuna kitu hakipo sawa hapo...

Jaribu na visomo/kuombewa na jitahidi mno utowe sadaka... hata kwa hicho kidogo unachopata...ina safisha vingi mana hii dunia ina mengi...

Mungu ndio kimbilio lakini pia angalia na jadi..hao wanasema kazania maombi tu

Ujuwe wapo pia wanaopita kwingi zaidi ya wanavyoongea...
 
Kwanza Pole sana na misuko suko ya dunia wewe ni kam shark ktk familia yenu unatakiwa uogelee ukisimama utakufa ,ndio maana sisi waislamu tumeambiya ukiwa na neema yyote usionyeshe kwa watu .Jicho lina madhara yake ,mdomo pia una madhara yake aidha ni ndugu zako au rafiki zako wamekuonea choyo umepata husda kwa jinsi ulivokuwa so cha msingi unatakiwa upate visimo na vile vile usali sana na kama unaweza basi hama hapo ulipo nenda mkoa mwengine au mtaa mwengine unaonekana ni mtu mwenye kipaji sana ktk maisha so move on usikubali kushindwa na Mungu atakusaidia ndio mitihani ya dunia .Kama hutojali niandie pm uko wapi na unafanya nini.
 
Habari,

Nilizaliwa late 80’s ,Nimesoma mkoani na hakika watu wengi walinisifia kuwa nina uwezo mzuri darasani achilia mbali zawadi mbalimbali nlizokuwa nazipata shuleni enzi hizo,ilikuwa ni furaha sanaa kwangu na kwa familia yangu,Mimi ni mototo wa kwanza ktk familia ya watoto 5 na wengine niwa kike.

Nilimaliza msingi with flying colours nkapata nafasi mkoa mwingine shule ya boarding,nakumbuka tulifaulu 14 tu out of 288,nyumban watu hawakuisha kuja home niwafundishe masomo nakumbuka baba kuna siku alinyambia watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui-kwa wakati huo nilikuwa sijui mshua anamaanisha nini?
Baba alikuwa na hali nzuri na biashara zake zilikuwa zinaenda poa sanaaa,pesa kedekede na miradi mingi hapa na pale in short mambo yalikuwa poa sanaa,madogo walikuwa wanasoma shule nzuri nzuri tu

Baada ya kumaliza form six na kupata nafasi udsm nakumbuka mtaan nlikuwa naokekana km msomi flani hivi na vijana wengi walitolewa mifano kwangu yaan nkawa role model wa mtaa mzima.

Baada ya kupata nafasi udsm ndio massive changes zilianza kuonekana ktk familia yangu,baba alifilisika kabisa kabisa kila kukicha ni habari za kuibiwa na wafanyakazi wanakimbia ata wale ndugu zake alioamua kuwapa nafasi kumsaidia kazi zake nao walikengeuka na kusepa na mali zake within 6 months mzee alikuwa taaban sana,madogo wote wakarudishwa shule za serikali na waliokuwa sekondari walipelekwa shule za gharama za kawaida mambo yalichange vibaya sanaaa.Huku kwangu mambo yalikuwa magumu sanaa nilikuwa naumwa kichwa kila siku yani kichwa icho hakielezeki maumivu yake muda wote nipo room hall 5(room no2670) nimelala kwa maumivu ya kichwa daaah.

Despite kuwa one of the best in class,nlipofika mwaka wa pili nilidisco masomo tena kwa GPA kitu ambacho mpk leo huwa sikubaliani nacho period,nakumbuka semester ya kwanza nlikuwa na GPA ya 3.2 ila semester ya pili eti nilipata F masomo yote 8-hii siku mama yangu alilia sana tena mbele yangu,Mkuu wa department alikuwa ananijua uwezo wangu aliniita na kuniuliza imekuwaje ,sikuwa na cha kumueleza zaid ya kumwambia ata mm sijui,aliniomba niandike barua ya appeal ataisimami,baada ya muda nkasikia eti ameteuliwa mkuu mwingine wa department na habar yangu ikashia hapo

Nlirudi kitaa kusikilizia appeal yangu mpk leo naisubiri tu,pesa ya kusoma tena familia yangu hawakuwa nayo nikatafuta kazi ya ulinzi nikaanza kufanya na nlivopata pesa kidogo nkaapply chuo kimoja hapa t own,nlisoma kwa shida ambazo hazielezeki ata kidogo.Huko nyumban mambo yalikuwa worse ile mbaya watu wakawa wanatucheka na kushangaaa nini kimetokea though watu wengi waliamini kuna mchezo mchafu unafanyika ktk familia yangu so wazazi wawe macho wasilale wala nini.

Wadogo zangu wote waliishia form 4 aseee,tena wameyumba kiasi kwamba wawili wamezalishwa na hawana msaada wamekaa home tu hawana pa kwenda wala kitu cha kufanya,baba hana kazi ata shilling mia hana ameyumba kupita kiasi,mama yangu anapika mama ntilie bubu pale mtaani,huwa naumia sanaaa nkiona maisha ya nyumban sasa hivi.

Hapa nilipo sina kazi yeyote nazulula tu mjini,nlishaomba kazi nadhan sehemu zinafika 500 ila hola mpk leo the worse thing ni kuwa wale washkaji zangu udsm wameshakuwa na life bomba sanaaa sa hv ila mm nasaga jiwe tu-hii huwa inaniuma kwelikweli

Simshutumu mtu yeyote kwa chochote pengine ndo maisha tunayotakiwa kuishi .Nina mengi ya kuandika kiasi kwamba zinaweza kufika ata page 100 ila kwa leo naishia hapo ujumbe wangu hapa ni ule ule usemi aloniambia baba “watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui

Mwisho,Napenda niwaombe msamaha wote waliokumbwa na mawimbi kwa kuwa karibu na mm starting from Daddy ,najua mko wengine wengi sanaa mmeumia kwa njia moja au nyingene kwakuwa mko karibu yangu may be one day tutajua ukweli halisi what went wrong?.
Pole kiongozi, ila ukweli maisha ni vita, kujua au kutikujua kiliyokea nini kwa sasa sio issue kwako...unaowajibu wa kutafuta hatima yako. Na njia ni mbili tu hapa duniani, moja ni kumtafuta Mungu kwa bidii na kufanya maagizo yake..kumb la torati 28, au kumfuta shetani na vipengele vyake vyote. Ukiwa katikati utapigwa ktk kila kitu..maana huna mtetezi..ujuzi ama akili zako hazina msaada kama hazikuongozi ktk mambo ya rohoni..mambo ya rohoni ndio huongoza maisha ya physical..so stick to any side of ur interest.
Zingatia...na fanya Maamuzi sahihi
 
Back
Top Bottom