Jifunze kitu hapa - TRUE STORY

Jifunze kitu hapa - TRUE STORY

fox

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
342
Reaction score
668
Habari,

Nilizaliwa late 80’s ,Nimesoma mkoani na hakika watu wengi walinisifia kuwa nina uwezo mzuri darasani achilia mbali zawadi mbalimbali nlizokuwa nazipata shuleni enzi hizo,ilikuwa ni furaha sanaa kwangu na kwa familia yangu,Mimi ni mototo wa kwanza ktk familia ya watoto 5 na wengine niwa kike.

Nilimaliza msingi with flying colours nkapata nafasi mkoa mwingine shule ya boarding,nakumbuka tulifaulu 14 tu out of 288,nyumban watu hawakuisha kuja home niwafundishe masomo nakumbuka baba kuna siku alinyambia watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui-kwa wakati huo nilikuwa sijui mshua anamaanisha nini?
Baba alikuwa na hali nzuri na biashara zake zilikuwa zinaenda poa sanaaa,pesa kedekede na miradi mingi hapa na pale in short mambo yalikuwa poa sanaa,madogo walikuwa wanasoma shule nzuri nzuri tu

Baada ya kumaliza form six na kupata nafasi udsm nakumbuka mtaan nlikuwa naokekana km msomi flani hivi na vijana wengi walitolewa mifano kwangu yaan nkawa role model wa mtaa mzima.

Baada ya kupata nafasi udsm ndio massive changes zilianza kuonekana ktk familia yangu,baba alifilisika kabisa kabisa kila kukicha ni habari za kuibiwa na wafanyakazi wanakimbia ata wale ndugu zake alioamua kuwapa nafasi kumsaidia kazi zake nao walikengeuka na kusepa na mali zake within 6 months mzee alikuwa taaban sana,madogo wote wakarudishwa shule za serikali na waliokuwa sekondari walipelekwa shule za gharama za kawaida mambo yalichange vibaya sanaaa.Huku kwangu mambo yalikuwa magumu sanaa nilikuwa naumwa kichwa kila siku yani kichwa icho hakielezeki maumivu yake muda wote nipo room hall 5(room no2670) nimelala kwa maumivu ya kichwa daaah.

Despite kuwa one of the best in class,nlipofika mwaka wa pili nilidisco masomo tena kwa GPA kitu ambacho mpk leo huwa sikubaliani nacho period,nakumbuka semester ya kwanza nlikuwa na GPA ya 3.2 ila semester ya pili eti nilipata F masomo yote 8-hii siku mama yangu alilia sana tena mbele yangu,Mkuu wa department alikuwa ananijua uwezo wangu aliniita na kuniuliza imekuwaje ,sikuwa na cha kumueleza zaid ya kumwambia ata mm sijui,aliniomba niandike barua ya appeal ataisimami,baada ya muda nkasikia eti ameteuliwa mkuu mwingine wa department na habar yangu ikashia hapo

Nlirudi kitaa kusikilizia appeal yangu mpk leo naisubiri tu,pesa ya kusoma tena familia yangu hawakuwa nayo nikatafuta kazi ya ulinzi nikaanza kufanya na nlivopata pesa kidogo nkaapply chuo kimoja hapa t own,nlisoma kwa shida ambazo hazielezeki ata kidogo.Huko nyumban mambo yalikuwa worse ile mbaya watu wakawa wanatucheka na kushangaaa nini kimetokea though watu wengi waliamini kuna mchezo mchafu unafanyika ktk familia yangu so wazazi wawe macho wasilale wala nini.

Wadogo zangu wote waliishia form 4 aseee,tena wameyumba kiasi kwamba wawili wamezalishwa na hawana msaada wamekaa home tu hawana pa kwenda wala kitu cha kufanya,baba hana kazi ata shilling mia hana ameyumba kupita kiasi,mama yangu anapika mama ntilie bubu pale mtaani,huwa naumia sanaaa nkiona maisha ya nyumban sasa hivi.

Hapa nilipo sina kazi yeyote nazulula tu mjini,nlishaomba kazi nadhan sehemu zinafika 500 ila hola mpk leo the worse thing ni kuwa wale washkaji zangu udsm wameshakuwa na life bomba sanaaa sa hv ila mm nasaga jiwe tu-hii huwa inaniuma kwelikweli

Simshutumu mtu yeyote kwa chochote pengine ndo maisha tunayotakiwa kuishi .Nina mengi ya kuandika kiasi kwamba zinaweza kufika ata page 100 ila kwa leo naishia hapo ujumbe wangu hapa ni ule ule usemi aloniambia baba “watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui

Mwisho,Napenda niwaombe msamaha wote waliokumbwa na mawimbi kwa kuwa karibu na mm starting from Daddy ,najua mko wengine wengi sanaa mmeumia kwa njia moja au nyingene kwakuwa mko karibu yangu may be one day tutajua ukweli halisi what went wrong?.
 
Pole saana mkuu, hii story yako imenitoa machozi. Mtegemee Mungu, atakufanyia wepesi, yeye hashindwi maana nina shuhuda nyingi saana katika maisha yangu binafsi. Nikitizama nilipo toka huwa siamini namna nilivyo fika hapa nilipo.
 
Ndugu yangu umenifanya nitoke chozi, a friend of mine has been gone the same way as yours na mpaka sasa anahangaika mpaka huruma.

Histori zenu zinafanana kuanzia familia ingawa yeye baba ake alifariki kitambo na mama ake ni mfanyakazi wa kawaida tu shirika la posts. Uwezo wake ulikuwa wa juu darasani na hata rafiki zake A level, Udsm wanatestify hilo lakini 2nd year 2010 akiwa anafanya Bcom in Management Science alidisco kwa GPA ya 1.6.

Pamoja na kuappeal, shauri lake halikusikilizwa na kuna waliokuwa na GPA ya 1.5 walifanyiwa mambo wakaendelea. Now amepoteza marafiki zake aliokuwa nao chuo, hakuna msaada basi dah. Anatafuta kazi ya ulinzi atleast hata apate ya kula tu.
Kuna vitu vingine tukijiuliza inabaki kumwachia Mungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kiongozi.

Jay-Millions kanena. Mkimbilie Mungu na umuulize tatizo liko wapi. Yeye ndiye mwenye majibu yote. Umenikumbusha kisa cha Daudi kwenye biblia wakati alikuwa mfalme. Palitokea ukame kwenye nchi yake kwa miaka mitatu. Akawa anaomba mvua inyeshe lakini hainyeshi. Mwisho wa siku akabadili style ya maombi. Akamwomba Mungu ampe jibu ni kwanini mvua hainyeshi, na Mungu alimpa jibu na kitu cha kufanya ili inyeshe.
 
Bwana fox kutokana na maelezo yako mazuri inaonyesha vikwamo vyako na vya familia vipo kiroho. Kuna vifungo katika ulimwengu wa Kiroho ambavyo vinatakiwa kufanyiwa kazi. Usije shangaa baadae ukaja gundua kuwa wanao husika na vita hivi wakawa ni ndugu wa karibu kabisa katika familia, sijajua kuwa wewe ni mkristo au la hilo halijalishi. Tafuta uongozi wa kiroho kutoka kwa watumishi wa Mungu ili wakupe hekima na maarifa namna ya kupambana na vita hivi. Jua kuwa vita hii ni ngumu sana na unamuhitaji Mungu sana kuliko wakati wowote wa maisha yako.

Katika maombi utagundua mambo mengi sana na taratibu utaanza kukonect dots kutoka katika maisha yako ya udogoni, nyumbani kuhusu maisha ya wazazi na mambo ambayo wazazi walikuwa wakiongea na kukwambia. PIA usije shangaa kuwa wazazi wako wanahusika kwa anguko la familia kwa namna moja ama nyingine, kama ulivyosema kuwa baba alikuwa mfanya biasha mkubwa na maisha yalikuwa mazuri, inawezekana kuwa palikuwa na mikataba ya kishetani kwa ajili ya mafanikio ya kibiashara na makafara yalikuwa yakitolewa. sasa inawezekana baba alivunja mashariti ambayo ikawa ni sababu ya anguko la familia.

Unaweza uliza kuwa kwanini ikaathiri mpaka elimu ya watoto !!! YES yapo mashariti ambayo yalikuwa pia juu yenu, wakati mkiwa wadogo wazazi waliweza ku control maisha yenu ili msiweze vunja hayo masharti sasa baada ya kukua hasa wewe ambae ulitoka mbali na familia kuna vitu ulifanya ambavyo ni kinyume na masharti ya zindiko la baba ikachangia anguko zima la familia.

Kuna mambo mengi sana, haya nilioandika ni MTAZAMO wa kiroho kutokana na mtiririko wa kisa chako. Kama nilivyo sema inahitaji kujitoa kwa kiwango cha juu sana ili kuweza kufungua hii code iliyofungia maisha yenu. Inahitajika muongozo na msaada wa ROHO Mtakatifu katika kila hatua,
 
Ndugu yangu umenifanya nitoke chozi, a friend of mine has been gone the same way as yours na mpaka sasa anahangaika mpaka huruma. Histori zenu zinafanana kuanzia familia ingawa yeye baba ake alifariki kitambo na mama ake ni mfanyakazi wa kawaida tu shirika la posts. Uwezo wake ulikuwa wa juu darasani na hata rafiki zake A level, Udsm wanatestify hilo lakini 2nd year 2010 akiwa anafanya Bcom in Management Science alidisco kwa GPA ya 1.6. Pamoja na kuappeal, shauri lake halikusikilizwa na kuna waliokuwa na GPA ya 1.5 walifanyiwa mambo wakaendelea. Now amepoteza marafiki zake aliokuwa nao chuo, hakuna msaada basi dah. Anatafuta kazi ya ulinzi atleast hata apate ya kula tu.
Kuna vitu vingine tukijiuliza inabaki kumwachia Mungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
I can feel the suffering inside your friend's.Binafsi huwa nikikutana na marafiki zangu huwa naumia sanaa,maisha yao yamechange kabisa,wote huwa wanaishia kunihurumia na kunitia moyo.
 
Pole kiongozi.

Jay-Millions kanena. Mkimbilie Mungu na umuulize tatizo liko wapi. Yeye ndiye mwenye majibu yote. Umenikumbusha kisa cha Daudi kwenye biblia wakati alikuwa mfalme. Palitokea ukame kwenye nchi yake kwa miaka mitatu. Akawa anaomba mvua inyeshe lakini hainyeshi. Mwisho wa siku akabadili style ya maombi. Akamwomba Mungu ampe jibu ni kwanini mvua hainyeshi, na Mungu alimpa jibu na kitu cha kufanya ili inyeshe.
Ahsante mkuu kwa ushauri wako,tutatia juhudi zaidi kutafuta huruma ya Mungu.Hivi sasa tunavyoongea wadogo zangu wawili ni walokole haswaaa na zipo dalili wengine wanafuata hii yote ni kutafuta huruma ya Mungu kwetu.
 
Habari,
Nilizaliwa late 80’s ,Nimesoma mkoani na hakika watu wengi walinisifia kuwa nina uwezo mzuri darasani achilia mbali zawadi mbalimbali nlizokuwa nazipata shuleni enzi hizo,ilikuwa ni furaha sanaa kwangu na kwa familia yangu,Mimi ni mototo wa kwanza ktk familia ya watoto 5 na wengine niwa kike.
Nilimaliza msingi with flying colours nkapata nafasi mkoa mwingine shule ya boarding,nakumbuka tulifaulu 14 tu out of 288,nyumban watu hawakuisha kuja home niwafundishe masomo nakumbuka baba kuna siku alinyambia watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui-kwa wakati huo nilikuwa sijui mshua anamaanisha nini?
Baba alikuwa na hali nzuri na biashara zake zilikuwa zinaenda poa sanaaa,pesa kedekede na miradi mingi hapa na pale in short mambo yalikuwa poa sanaa,madogo walikuwa wanasoma shule nzuri nzuri tu
Baada ya kumaliza form six na kupata nafasi udsm nakumbuka mtaan nlikuwa naokekana km msomi flani hivi na vijana wengi walitolewa mifano kwangu yaan nkawa role model wa mtaa mzima.
Baada ya kupata nafasi udsm ndio massive changes zilianza kuonekana ktk familia yangu,baba alifilisika kabisa kabisa kila kukicha ni habari za kuibiwa na wafanyakazi wanakimbia ata wale ndugu zake alioamua kuwapa nafasi kumsaidia kazi zake nao walikengeuka na kusepa na mali zake within 6 months mzee alikuwa taaban sana,madogo wote wakarudishwa shule za serikali na waliokuwa sekondari walipelekwa shule za gharama za kawaida mambo yalichange vibaya sanaaa.Huku kwangu mambo yalikuwa magumu sanaa nilikuwa naumwa kichwa kila siku yani kichwa icho hakielezeki maumivu yake muda wote nipo room hall 5(room no2670) nimelala kwa maumivu ya kichwa daaah.
Despite kuwa one of the best in class,nlipofika mwaka wa pili nilidisco masomo tena kwa GPA kitu ambacho mpk leo huwa sikubaliani nacho period,nakumbuka semester ya kwanza nlikuwa na GPA ya 3.2 ila semester ya pili eti nilipata F masomo yote 8-hii siku mama yangu alilia sana tena mbele yangu,Mkuu wa department alikuwa ananijua uwezo wangu aliniita na kuniuliza imekuwaje ,sikuwa na cha kumueleza zaid ya kumwambia ata mm sijui,aliniomba niandike barua ya appeal ataisimami,baada ya muda nkasikia eti ameteuliwa mkuu mwingine wa department na habar yangu ikashia hapo
Nlirudi kitaa kusikilizia appeal yangu mpk leo naisubiri tu,pesa ya kusoma tena familia yangu hawakuwa nayo nikatafuta kazi ya ulinzi nikaanza kufanya na nlivopata pesa kidogo nkaapply chuo kimoja hapa t own,nlisoma kwa shida ambazo hazielezeki ata kidogo.Huko nyumban mambo yalikuwa worse ile mbaya watu wakawa wanatucheka na kushangaaa nini kimetokea though watu wengi waliamini kuna mchezo mchafu unafanyika ktk familia yangu so wazazi wawe macho wasilale wala nini.
Wadogo zangu wote waliishia form 4 aseee,tena wameyumba kiasi kwamba wawili wamezalishwa na hawana msaada wamekaa home tu hawana pa kwenda wala kitu cha kufanya,baba hana kazi ata shilling mia hana ameyumba kupita kiasi,mama yangu anapika mama ntilie bubu pale mtaani,huwa naumia sanaaa nkiona maisha ya nyumban sasa hivi
Hapa nilipo sina kazi yeyote nazulula tu mjini,nlishaomba kazi nadhan sehemu zinafika 500 ila hola mpk leo the worse thing ni kuwa wale washkaji zangu udsm wameshakuwa na life bomba sanaaa sa hv ila mm nasaga jiwe tu-hii huwa inaniuma kwelikweli
Simshutumu mtu yeyote kwa chochote pengine ndo maisha tunayotakiwa kuishi .Nina mengi ya kuandika kiasi kwamba zinaweza kufika ata page 100 ila kwa leo naishia hapo ujumbe wangu hapa ni ule ule usemi aloniambia baba “watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui
Mwisho,Napenda niwaombe msamaha wote waliokumbwa na mawimbi kwa kuwa karibu na mm starting from Daddy ,najua mko wengine wengi sanaa mmeumia kwa njia moja au nyingene kwakuwa mko karibu yangu may be one day tutajua ukweli halisi what went wrong?.
aisee naona kama umeniandikia mimi"
 
Mkuu jikabidhi kwa Yesu (okoka) usiangalie watu watasema nin shawishi na familia pia wote muambatane baada ya mda utakuja kushuhudia hapa. Binafsi ninashuhuda nyingi lakini inshort am 3rd year bachelor student while nafanya kazi. Najilipia ada na gharama zote. Familia pia imeinuka tena kiuchumi baada ya msoto wa mda mrefu.
 
Mkuu umenifanya nilie sana mbaya zaidi nimesoma hii thread nikiwa katikati ya wimbi zito la mawazo ninapita changamoto lakini zangu si kitu kwako natamani hata ningekusaidia lakini sijajaliwa uwezo wa kutosha kukusaidia cha msingi nitakukumbuka kwenye maombi Na kama nitapata nafasi ya kukusaidia kwa lolote nitafanya hivo Ila usikate tamaa tu kwani ukikata tamaa utaharibu zaidi maisha yako
 
Habari,
Nilizaliwa late 80’s ,Nimesoma mkoani na hakika watu wengi walinisifia kuwa nina uwezo mzuri darasani achilia mbali zawadi mbalimbali nlizokuwa nazipata shuleni enzi hizo,ilikuwa ni furaha sanaa kwangu na kwa familia yangu,Mimi ni mototo wa kwanza ktk familia ya watoto 5 na wengine niwa kike.
Nilimaliza msingi with flying colours nkapata nafasi mkoa mwingine shule ya boarding,nakumbuka tulifaulu 14 tu out of 288,nyumban watu hawakuisha kuja home niwafundishe masomo nakumbuka baba kuna siku alinyambia watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui-kwa wakati huo nilikuwa sijui mshua anamaanisha nini?
Baba alikuwa na hali nzuri na biashara zake zilikuwa zinaenda poa sanaaa,pesa kedekede na miradi mingi hapa na pale in short mambo yalikuwa poa sanaa,madogo walikuwa wanasoma shule nzuri nzuri tu
Baada ya kumaliza form six na kupata nafasi udsm nakumbuka mtaan nlikuwa naokekana km msomi flani hivi na vijana wengi walitolewa mifano kwangu yaan nkawa role model wa mtaa mzima.
Baada ya kupata nafasi udsm ndio massive changes zilianza kuonekana ktk familia yangu,baba alifilisika kabisa kabisa kila kukicha ni habari za kuibiwa na wafanyakazi wanakimbia ata wale ndugu zake alioamua kuwapa nafasi kumsaidia kazi zake nao walikengeuka na kusepa na mali zake within 6 months mzee alikuwa taaban sana,madogo wote wakarudishwa shule za serikali na waliokuwa sekondari walipelekwa shule za gharama za kawaida mambo yalichange vibaya sanaaa.Huku kwangu mambo yalikuwa magumu sanaa nilikuwa naumwa kichwa kila siku yani kichwa icho hakielezeki maumivu yake muda wote nipo room hall 5(room no2670) nimelala kwa maumivu ya kichwa daaah.
Despite kuwa one of the best in class,nlipofika mwaka wa pili nilidisco masomo tena kwa GPA kitu ambacho mpk leo huwa sikubaliani nacho period,nakumbuka semester ya kwanza nlikuwa na GPA ya 3.2 ila semester ya pili eti nilipata F masomo yote 8-hii siku mama yangu alilia sana tena mbele yangu,Mkuu wa department alikuwa ananijua uwezo wangu aliniita na kuniuliza imekuwaje ,sikuwa na cha kumueleza zaid ya kumwambia ata mm sijui,aliniomba niandike barua ya appeal ataisimami,baada ya muda nkasikia eti ameteuliwa mkuu mwingine wa department na habar yangu ikashia hapo
Nlirudi kitaa kusikilizia appeal yangu mpk leo naisubiri tu,pesa ya kusoma tena familia yangu hawakuwa nayo nikatafuta kazi ya ulinzi nikaanza kufanya na nlivopata pesa kidogo nkaapply chuo kimoja hapa t own,nlisoma kwa shida ambazo hazielezeki ata kidogo.Huko nyumban mambo yalikuwa worse ile mbaya watu wakawa wanatucheka na kushangaaa nini kimetokea though watu wengi waliamini kuna mchezo mchafu unafanyika ktk familia yangu so wazazi wawe macho wasilale wala nini.
Wadogo zangu wote waliishia form 4 aseee,tena wameyumba kiasi kwamba wawili wamezalishwa na hawana msaada wamekaa home tu hawana pa kwenda wala kitu cha kufanya,baba hana kazi ata shilling mia hana ameyumba kupita kiasi,mama yangu anapika mama ntilie bubu pale mtaani,huwa naumia sanaaa nkiona maisha ya nyumban sasa hivi
Hapa nilipo sina kazi yeyote nazulula tu mjini,nlishaomba kazi nadhan sehemu zinafika 500 ila hola mpk leo the worse thing ni kuwa wale washkaji zangu udsm wameshakuwa na life bomba sanaaa sa hv ila mm nasaga jiwe tu-hii huwa inaniuma kwelikweli
Simshutumu mtu yeyote kwa chochote pengine ndo maisha tunayotakiwa kuishi .Nina mengi ya kuandika kiasi kwamba zinaweza kufika ata page 100 ila kwa leo naishia hapo ujumbe wangu hapa ni ule ule usemi aloniambia baba “watu sio wazuri mambo mengine km unayajua husifundishe wapotezee jifanye hujui
Mwisho,Napenda niwaombe msamaha wote waliokumbwa na mawimbi kwa kuwa karibu na mm starting from Daddy ,najua mko wengine wengi sanaa mmeumia kwa njia moja au nyingene kwakuwa mko karibu yangu may be one day tutajua ukweli halisi what went wrong?.
So sad, pole sana
 
Kwanza pole Sana ndugu yangu,Story yako imenigusa sana na kunikumbusha na Mimi nilivyofanyiwa na ndugu yangu niliyekuwa naishi nae kuna watu hawapendi wenzao wafanikiwe hata kidogo mi nilipigwa vita hadi unajiuliza hivi nimekosa nini hadi yatokee yote haya lakini kila kwenye gumu kuna njia ya kutokea Mungu ndo kimbilio kama alivyonitetea Mimi I hope na wewe atakutetea hayo yana mwisho
 
Back
Top Bottom