DAA!! Mwanangu 15,00d/ per day? duuu!! Lugha sio elimu so kwa kiasi hicho ni kingi sana, i LOVE SPANISH sana sana. na niltaka kujifunza but sikuweza kuafford Cost zake. so nikafanya vifuatavyo
1.Nina Laptop...nikadownload apps zenye kueleza jinsi ya kutamka maneno
2.Nikadownload dictionary ya english spanish
3.nikajiunga kwenye language exchange sites....nikawa na chat na watu kwa broken spanish yangu hvy hvyo
4. Ndani ya Mwezi na nusu nilikuwa na uwezo wa kuchat na M-peru,M-argentina,M-spanish,M-mexico kwa NUSU saa bila kutetereka mi amigo. so nikagundua kitu kimoja lugha ni kitu rahisi sana tatizo watu wanadhani lugha ni elimu ndio maana inawapa shida sana kujifunza. Fanya for fun! usijipe stress as if unafanya Necta.
BAHATI MBAYA niliacha mda sana kujishughulisha na spanish tena baada ya mambo mengine kuingiliana KAMA UNA SMART PHONE SIO WAISHIA KUCHAT TUU FB, MARA KUANGALIA WEMA KAFANYA NINI INSTA. WE PAKUA APP MOJA YA LANGUAGE UJIFUNZE UKIWA KWA DALADALA POLEPOLE UTAKAMATA MANENO SITA MARA WATEMA YAI KAMA MESSII