el maana yake ni nini?La= the
de= of
The grace of God
Kuna wimbo wa Koffi unaitwa
Affaire de Etat(vile vialama vya juu ya maneno ya kifaransa sina)
Kuna wimbo wa JB mpiana unaitwa Le Spoir de Chicago
Je nini tafsir zake?
el maana yake ni nini?La= the
de= of
The grace of God
Nilipenda sana ushauri wako! Your comments will help to improve the next
Merci beaucoup!
Sorry Mkuu, wakongo wanachanganya kifaransa na lingala...el maana yake ni nini?
Kuna wimbo wa Koffi unaitwa
Affaire de Etat(vile vialama vya juu ya maneno ya kifaransa sina)
Kuna wimbo wa JB mpiana unaitwa Le Spoir de Chicago
Je nini tafsir zake?
Safi sana. Je wewe ndie mwalimu wa lugha hii? kama ndio naomba ni PM mawasiliano yako kama hutojaliHabari zenu wakuu;
Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali mshirikishe rafiki yako wa karibu ili upate mtu wa kuzungumza nae mara kwa mara, na kama haitoshi, usikose kututembelea ofisini kwetu ili upate ushauri utakao kuwezesha kukamilisha ndoto yako.
Jifunze KIFARANSA na Mr Chérrif Youtube
www.youtube.com/watch?v=EGC7PLIkAzw
Merci!
thanks will call you shortlyNi mm mwl 0673225148 au 0753225148
Somo la pili lini?Asante Mkuu, nimeweka sasa
Ahsante nilijaribu kucheki class ila bado sijashika. NtajitahidiKaribu darasani