Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

omary01

Member
Jul 27, 2016
29
16
Habari WANA JAMIIFORUMS leo nimeamua kukuletea somo ambalo ungelipia katika FORUMS nyingine na somo hilo ni Jinsi ya kutengeneza video game katika Computer yako.

Kabla ya kuendelea ningependa kutegua kitendawili ambacho wengi hamna majibu na ukimuuliza IT ambae yuko karibu na wewe. Na IT huyo hukupa jibu kuwa HAKUNA UWEZEKANO WA MTU MMOJA KUTENGENEZA GAME na wengi miongoni mwenu huvunyika moyo baada ya kusikia hivyo. Ila jibu sahihi ni ndio kwani mtu mmoja anaweza kutengeneza Game katika Computer yake.

Unajuwa miaka ya 90 hapa kuwa na uwezokano wa mtu mmoja kutengeneza Game lakini mtu mmoja alikuwa na uwezo wa kutengeneza Game.

Kwa ni ni mtu mmoja alikuwa na uwezo wa kutengeneza Game lakini peke yake alikuwa hawezi kutengeneza Game.

sababu ni kuwa zamani Designer wa model na Sprite walikuwa wachache kwahio kama ulikuwa unataka kutengeneza Game kwa wakati ule ilikuwa inakulazimu kumuajiri Designer huyo.

Lakini kwa sasa ni tofauti kwani Designer wa Sprite na models wako wengi na wengi wao hutengeneza Sprite na Model na kuziuza na wengine huzitoa bure Bofya hapa ili ku-download Sprite na model Bure. Hivyo basi ili uamini kuwa mtu mmoja anaweza kutengeneza Game endelea kusoma Makala hii au jiunge na Chuo chetu ili uweze kujifunza zaidi.

Na sababu nyingine ni kuwa programu za kutengeneza Game ziliuzwa kwa bei kali zaidi kwahio mtu binafsi hakuwa na uwezo wa kumudu bei hio labda kwa makampuni pekee ndiyo yalikuwa na uwezo wa kumudu bei hiyo. Lakini kwa sasa program hizo huuzwa kwa bei nafuu na imani kuwa kila mtu anaweza kumudu bei hiyo na program nyingine unaweza kuzipata bure.

Kumbuka kuwa sio kila IT anaweza kutengeneza Video Game kwani Game maker ni fani inayo jitegemea kama fani nyingine Kwani kwa Tanzania Course hii imeanza Kutolewa mwaka 2012 kwahio wajuzi ni wachache. Kwani hata katika Chuo ninacho fundisha fani hii ya Game maker Mlimani training College tumeanza kuitoa mwaka 2014.

Kwahio na maana kuwa IT wa Tanzania kuwanzia miaka ya 90 mpaka 2012 hawakuwa na ujuzi huo ndio maana walikuwa hawana uwezo wa kujibu Swali hilo. Kwani mpaka sasa vyuo vinavyo toa course hio havizidi vyuo 4 hapa Tanzania. Kwahio wajuzi ni wachache hapa Tanzania.

Kwahio ili uweze kutengeneza Game lazima ujue mambo yafuatayo.

1. lazima uwe na Program ambayo itakuwezesha kutengeneza Game Yako

Kuna program nyingi ambazo hutumika kutengeneza Game kwahio nitakufahamisha Programu 5 ambazo ni rahisi kutengeneza Game na Program hizo ni.

5. SOUCE ENGENE

ENDELEA KUSOMA
 
nipo hapa kukujibu swali lolote kuhusiana na fani hii ya game maker
Ulituambia utatuwekea game la ujiji racing playstore toka mwaka jana mpaka leo hollah!
Nini shida? Maana hiyo ingesaidia kuuonyesha uwezo wako hata kwa wanaotaka jiunga ni hiyo course yako..
 
Elimu bila kipaji ni bure mwalimu na wanafunzi awana vipaji vya Yale wanayosomea
 
Ulituambia utatuwekea game la ujiji racing playstore toka mwaka jana mpaka leo hollah!
Nini shida? Maana hiyo ingesaidia kuuonyesha uwezo wako hata kwa wanaotaka jiunga ni hiyo course yako..
Hivi punde nita upload game nyingi sio hilo tu kwani Game ambazo zilizo kuwa tayari ni nyingi na nina subiria zifike Game hamsini ili nikiz-Publish nipate % fulani
 
Hivi punde nita upload game nyingi sio hilo tu kwani Game ambazo zilizo kuwa tayari ni nyingi na nina subiria zifike Game hamsini ili nikiz-Publish nipate % fulani
Basi sawa ili mradi tusisubiri mpaka Mola akatuchukua weka hata screenshots mkuu
 
kwawale wanao itaji kujifunza lugha ya Computer upande wa game developer kaa mkao wa kula hivi karibuni nitaanza ku toa fanii hio bure.
 
Back
Top Bottom