Jifunze jinsi ya kuongeza uume

Jifunze jinsi ya kuongeza uume

Kwani dudu killer anatakiwa awe na wastani wa inch ngapi ili asiwe kweny kundi la "vibamia"?? msaada plz huenda tupo weng weny vibamia ila hatujijui
 
Kwani dudu killer anatakiwa awe na wastani wa inch ngapi ili asiwe kweny kundi la "vibamia"?? msaada plz huenda tupo weng weny vibamia ila hatujijui
Ukiwa inch5 kushuka chini kibongo bongo hiko ni kibamia,huo ndo ukweli.
 
Shida ya mkewe sio kuridhika, anachotaka ni mkuyenge heavy ambao Baba Loveness hana. Cha kumshauri asijisumbue kabisa kumkosoa Sir God, bali ajitahidi kuweka focus kubwa kuhakikisha Loveness anakua na maisha bora basi. Kila kitu hutokea kwa sababu, kama huyo mama loveness anaona mkuyenge haumtoshi na hawezi kuvumilia basi ajue hakua mtu sahihi kwakwe.
Mimi nasema "Kiu ya Maji haikatwi na Soda, hupunguzwa tu"
Anaweza kuwa na 'mkuyenge heavy' na bado asimridhishe mkewe. Huyo mke anahitaji kuridhishwa tu basi.....kumbuka kuwa ukubwa wa kichwa sio wingi wa akili. Hicho hicho kidogo alichonacho akikitumia vizuri,hatasikia tena malalamiko ya mkewe!
 
Baba love Jikubali tuu jamani... Hayo mengine ni kujiumiza tuu, achana na hayo Pambana na maisha baba Loveness
 
Mkuu pole sana.... Ongeza kipato na ongeza ufundi... Ila usijaribu kuiongeza artificially maana huko mbeleni madhara utayapata..... Ridhika na ulichonacho
 
Dah jikubali tu mkuu mkeo baada ya kwenda labour hajui kupunguza kina chake yaelekea,
Kiukweli wapenda bamia tupo wachache sana,
eti kapeace yawezekana mwanamke akishazaa akarudi kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya kuenda labor? maana kuna hali tofauti nakutana nayo kwa mwanamke aliyezaa na ambaye hajazaa
 
Habari za wakati huu,

Naombeni ushauri wenu wa namna ya kuongeza uume kwasababu mwanandani wangu amekuwa akitamani sana maumbile yangu ya ongezeke na kuwa makubwa kutokana na kuchoshwa na udogo wa uume wangu.

Naombeni ushauri ila kuokoa penzi langu
Kwa nini yeye naye asifanye jitihada ya kupunguza maumbile yake badala yake anakulazimisha wewe uongeze maumbile yako? Mkiwa katika tendo.

kuna namna anaweza akabana misuli ya kitumbua chake na kufanya diameter ya tundu lake kuwa dogo kiasi cha kukufanya wewe uogelee vizuri kwa mbanano wa kutosha. Mwambie aende kozi kwa wajuzi wa mambo... Wenzake wanaita kuifinyia kwa ndani...
 
Kwanza huo uume unapimwa urefu wakati gani ukiwa umelala au umesimama(erect)?
 
Habari za wakati huu,

Naombeni ushauri wenu wa namna ya kuongeza uume kwasababu mwanandani wangu amekuwa akitamani sana maumbile yangu ya ongezeke na kuwa makubwa kutokana na kuchoshwa na udogo wa uume wangu.

Naombeni ushauri ila kuokoa penzi langu
Yeye I wanna wiping use Shimo!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom