Jifunze jinsi ya kuongeza uume

Jifunze jinsi ya kuongeza uume

Brother vumilia tu maana pia unatakiwa utambue kua dawa zina madhara mueleweshe mke wako kua Dawa zina madhara na siku hyo mali ikishindwa fanya kazi mwanamke wako huyo huyo atakuacha..kua makini kaka Jaribu mbinu nyingne mbadala ya kumridhisha mke wako na sio kuongeza ukubwa wa uume wako..Mueleweshe mkeo..
 
Ridhika na ulicho nacho.....hayo maumbile madogo ukiyatumia vizuri yatamridhisha vizuri mkeo
Shida ya mkewe sio kuridhika, anachotaka ni mkuyenge heavy ambao Baba Loveness hana.
Cha kumshauri asijisumbue kabisa kumkosoa Sir God, bali ajitahidi kuweka focus kubwa kuhakikisha Loveness anakua na maisha bora basi. Kila kitu hutokea kwa sababu, kama huyo mama loveness anaona mkuyenge haumtoshi na hawezi kuvumilia basi ajue hakua mtu sahihi kwakwe.
Mimi nasema "Kiu ya Maji haikatwi na Soda, hupunguzwa tu"
 
Back
Top Bottom