Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,303
Ila hili suala la wanawake kutoridhika sijui vibamia limekua kubwa sana hasa kipindi hiki ambacho utandawazi umetuweka wazi. Maana kila sehemu matangazo ya kurefusha sijui kutunisha uume kwani zamani wazazi wetu hizi kesi hazikuwepo? Mbona waliishi tuu vzr?
Sema kwa sasa wanawake tunaponzana sisi kwa sisi huko masaloon na kwenye magroup hukooo kutwa kutambiana mihogo mihogo mara lazima mwaname awe na mhogo na sio kibamia.
Kama umeoa mwanamke kichwa maji atakusumbua mno na kuchepuka atachepuka kufwata huo muhogo. Wakati mwanzo alikua anaridhika tuu vzr iweje ghafla aseme humridhishi? Basi na yy afanye njia ya kupunguza kinu chake cha nyuklia.