Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Nimekutumia inbox

IMG_6432.jpg

Huu mzigo uliagiza AliExpress au ebay? Na mbona unaonesha ulishafika tokea January
 
ukinunua bidhaa ebay, unaichukulia wapi?
  • Kabla ya kukamilisha manunuzi, huwa unatakiwa kwanza kujaza Anwani ambayo itatumika kupokelea mzigo husika.
  • Iwapo wewe unasishi Mwanza, Jaza anwani kamili ya mwanza na mzigo utakufikia mwanza.
=
unaichukulia wapi? | Utachukulia mahala/sehemu uliyo jaza(Anwani) mzigo ufikishwe/upokelewe.
 
Connection hii hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Au inbox, unipe details zaidi.
Habari yako mkuu,
Nipo ebay kipindi kirefu lakini sijawahi kufanya order hata moja huwa naangalia bidhaa then bidhaa ile nalinganisha na Aliexpress basi huku naiona bei afadhali. Nafanya order kupitia Aliexpress.

Sasa huku ebay kuna category ya selling je? Hii hutumikaje au ni mimi nikitaka kuuza bidhaa zangu ndio natumia hii. Kama siyo je nikiwa na maparachichi yangu naweza kuuza kupitia majukwaa haya na taratibu zikoje nchini kwetu?
 
Kwasasa kuna shida gani? Mie siwezi fanya malipo tatizo ni kama kadi natumia vodacom visa card nikahamisha kwenda tigo mastercard napo pia tatizo hilo hilo
Screenshot_20230819_200904_Alibabacom.jpg
 
Hakiki Rate, linganisha na kiasi ulichoweka kwenye kadi yako.
  • Kupitia vitual card Rate iko juu inafika $1 = 2,700 au zaidi,
  • Hivyo miamala inakataa sababu ya kiwango kidogo cha fedha kwenye akaunti yako.
\>> Angalia hapa: Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa


Ufumbuzi : Fanya makadirio makubwa ya Exchange rate, kisha weka kiasi cha kutosha, Utafanikiwa kufanua huo muamala.
Asante aisee....Umekuwa fasta sana kujibu nikajua labda baada ya siku 3
 
Hakiki Rate, linganisha na kiasi ulichoweka kwenye kadi yako.
  • Kupitia vitual card Rate iko juu inafika $1 = 2,700 au zaidi,
  • Hivyo miamala inakataa sababu ya kiwango kidogo cha fedha kwenye akaunti yako.
\>> Angalia hapa: Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa


Ufumbuzi : Fanya makadirio makubwa ya Exchange rate, kisha weka kiasi cha kutosha, Utafanikiwa kufanya huo muamala.
Naipataje hii mkuu,bei gani
Screenshot_20230901-133242_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom