Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Hela yako iko salama.
AliExpress mambo yao ni ya kisomi na poa sana.

Mimi kuna order nilifanya ikamaliza miezi mitatu haijafika mfumo ukaconfirm automatic kwamba nimepokea na huku sijapokea chochote.

Nilifungua kesi ya madai na AliExpress Team wakaingilia kati na kunirefund.

Nasubiri siku mzigo ukifika niwalipe ingawaje ni hasara kufanya muamala mara mbili.

Ila kumbuka kuwalipa maana hawa jamaa weupe huwa wanatunza kumbukumbu za wateja wao.

Ukijidai mjanja mjanja kuna siku itakula kwako.

Pia uaminifu wakati mwingine ni mtaji.

Sent from my cupboard using mug
Mkuu inawezekan kununua kitu AliExpress afu kikatumwa kwa kutumia silent ocean bila kuwa na mtu huko china
 
Mkuu inawezekan kununua kitu AliExpress afu kikatumwa kwa kutumia silent ocean bila kuwa na mtu huko china
Sijawahi kukutana na hiyo huduma kule AliEx... mkuu, labda usubiri wajuzi wengine waje huenda washawahi kufanya hiyo kwingine.

Sent from my cupboard using mug
 
Sijawahi kukutana na hiyo huduma kule AliEx... mkuu, labda usubiri wajuzi wengine waje huenda washawahi kufanya hiyo kwingine.

Sent from my cupboard using mug
AliExpress unalipia tu alafu wanakutumia wenyewe? Na Kama hauna post address wanakutumiaje?
 
AliExpress unalipia tu alafu wanakutumia wenyewe? Na Kama hauna post address wanakutumiaje?
Yaa, ukishalipia kuna makampuni yanayosafirisha ambapo utaweza kuchagua kulingana na bei ya kusafirishia mzigo wako na hapo ndipo seller atakapoona kampuni uliyoichagua naye atatuma mzigo wako.

Kama huna postal address ingia hapo chini ili ujinunulie box la kidigitali nawe utakuwa unatumia hilo na pindi mzigo wako utakapokuwa umefika watakutumia meseji ama kukupigia simu.

More blessings mkuu
 
WAKUUU NINGEPENDA KUFAHAMU HAPO KWENYE EXTEND ORDER KUNA MAANISHA
20210216_175506.jpg
 
WAKUUU NINGEPENDA KUFAHAMU HAPO KWENYE EXTEND ORDER KUNA MAANISHAView attachment 1703824

Imeshabonyeza kuwa order ulioagiza kuwa umeipokea!? Je umesha pokea hiyo bidhaa ulio nunua? Kama ulibonyeza bahati mbaya basi kubonyeza hiyo extend processing order inamaanisha kuwa unauwezo wa kuendelea kuisubiri hata kama imechelewa... lakini pia unapata advantage ya kuwekewa ulinzi wa bidhaa yako ikiwa njiani maana itatambulika kuwa bado hauja ipata... uki confirm kuwa umepata buyers protection inakuwa ceased
 
WAKUUU NINGEPENDA KUFAHAMU HAPO KWENYE EXTEND ORDER KUNA MAANISHAView attachment 1703824
Jibu sahihi ni;

Ukishaweka order ambayo tayar umeshailipia, huwa kuna muda wa siku kadhaa ambao seller anakuandalia hiyo order yako ili aitume.

Na kama siku hizo zikiisha kabla seller hajatuma mzigo basi order inakuwa cancelled automatically na unarudishiwa hela yako.

Endapo ukibonyeza Extend Order Processing Time, kabla siku za mchakato wa kuuandaa mzigo wako hazijaisha, basi siku za kuuandaa mzigo wako zitaongezwa na ndani ya hizo siku, seller atautuma mzigo wako na hapo itakuja hatua nyingine ya kuusubiria mzigo wako ndani ya muda utakaokuwa umekadiriwa tena ili kufika mzigo wako.

Hii stage ya pili nayo kama muda wake umekaribia sana kuisha wawezamwomba seller akaextend time of delivery au wakati mwingine seller huwa anajiongeza na kuextend time of delivery bila ya wewe kumwambia.

shukran sana mkuu pia ninaswali jengine naona mzigo wangu mmoja umeandikwa shiped ila sasa ninachotaka kufahamu mizigo yote niliambiwaga inasafirishwa na ndege maneno haya kwa alie nishauri kuagiza ila mimi naona pale wameniekea alama ya nanga simeli hio naeka picha hapa angaliaa
20210217_190529.jpg
 
shukran sana mkuu pia ninaswali jengine naona mzigo wangu mmoja umeandikwa shiped ila sasa ninachotaka kufahamu mizigo yote niliambiwaga inasafirishwa na ndege maneno haya kwa alie nishauri kuagiza ila mimi naona pale wameniekea alama ya nanga simeli hio naeka picha hapa angaliaa View attachment 1704800
Hiyo isikupe shida mkuu ndani ya mwezi mzigo wako utakuwa umeshafika huku Tz.

Sent from my cupboard using mug
 
Hiyo isikupe shida mkuu ndani ya mwezi mzigo wako utakuwa umeshafika huku Tz.

Sent from my cupboard using mug
VIPI KUHUSU MZIGO AMBAO BAADA YA KUKAA SHIPPED TU NIMEINGIA NIMEKUTA KWENYE TRACKING NIMEAMBIWA HIVO ILA NI MUDA MCHACHE TU ILIKUA TO BE SHIPPED IMEKAA KWENYE SHIPPED NDO NIMEENDA ANGALIA KWA TRACKING NIMEKUTANA NA UJUMBE HUOO
Screenshot_20210220-112038_AliExpress.jpg
 
Kwa kweli mimi nilishazoea, kwanza huwa nakosa amani moyoni endapo nikinyamaza na huku nimepokea mzigo. Hata juzi juzi na jana pia nilirudisha hela walizokuwa wamerefund.

Sent from my cupboard using mugView attachment 1681408View attachment 1681409
Endelea na moyo huo huo. Mm hua nachukua refund na nina kauka tu km sijapokea mzigo. Imagine mzigo umefika baada ya miezi sita huo sio ulofa na kurudishana nyuma. Mzigo uko njiani kwa nusu mwaka??? Lzm walipe muda wangu wa kusubiri na malipo ni kulamba refund na kuchil tu
 
Je mnaonunua vitu (hasa simu) Online mnanfaikaje na bei ? Ishu za shipping charge, kodi etc.
Kuna nikiingia AliExpress natoka bilabila.
 
Je mnaonunua vitu (hasa simu) Online mnanfaikaje na bei ? Ishu za shipping charge, kodi etc.
Kuna nikiingia AliExpress natoka bilabila.
Huko mpaka ukaze roho aisee; nenda ukanunue huko kama huku bongo hakipo ila kama kipo ni afadhali ununue huku. Ingawaje wakati mwingine waweza kuta bei ya kule iko poa na pia wakati mwingine bei ya huku yaweza kuwa poa kuzidi kule.

Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom