Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.

Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.

Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.

Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.

JIBU: UncleUber replied; mzigo wako utaupokelea posta au mahala popote ambapo utakuwa umeomba mzigo wako upelekwe; mfano unaweza(kama umelipia gharama za kuuleta kwa njia husika) kuja DHL au USPS n.k utaukuta kwenye ofisi husika, mara nyingi uwa wanakupigia simu kifurushi chako kikifika (hata posta wanapiga simu)
Welcome! Our services include:

  • Web design
  • Logo design
  • Online business or company registration
  • Airline and Bus ticketing (Domestic & International)
  • Passport and Visa Registration
  • Studying abroad programs
  • Online imports and export services
  • And other IT related services
 
Kununua simu hapa Bongo na kununua online Ebay, AliExpress, Alibaba etc

Wapi nasave hela ya kueleweka na kupata kitu jinian
 
Ushauri kwa wanunuaji wa vitu ebya na mitandao mingine ya nje
Waagize waweke bei kwenye package cover ya nje, wasipofanya hivyo watu wa customs watakupachikia bei ya mwaka
Nilinunua Wireles Microphone ya kama USD 20 hivi kwa sababu haikuwa na bei watu wa customs wakaweka USD 400 ndio dhamani yake ili mimi nilipe VAT ya 18% ya hiyo 400 sawa na TZS 165,000 hivi badala ya kodi halali ya 8,000
 
mbona balaa mkuu, af nlienda posta ya Mwanza wakanambia bidhaa za matumizi kutoka nje hazikatwi VAT sasa sijui hapa inakuaje, mi nilichukua sim parcel yangu free of charge.
N.B kwa kua sijui ilikuja na registered mail hawakutaka hata ile 2300.
so hapo ulifanyaje mpaka wakakupa mzigo wako.
 
Sielezi hapa ila hiyo situation ipo
 
Habarini ndugu zangu!
Ningependa kufahamu jinsi ya kuuza vitu kwenye mitandao hii ya eBay au Amazon ukiwa Tanzania. Kama kuna mtu anafahamu naomba atuelekeze pia. Asante
 
Na je km mzigo hujafika unaweza kufungua dispute km Ali express? Na vp km mzigo mkubwa wa kilo mia still unaweza kuupokea kwa njia ya posta? Na je mzigo km umekuja kwa meli sisi wa mikoani tutaupate?
Naomba unielekeze zaidi kuhusu kikuu na ali express endapo nina alibaba ila naona ni gharama sana alafu hiyo airtel Master card ni hii airtel ya kawaida
 
airtel Master card ni hii airtel ya kawaida
- Ni laini yako ya kawaida hiyo ya airtel, Unaingia kwenye menu ya Airtel kama kawaida kisha unaingia kwenye kipengele kitakachokuwezesha kutengeneza Airtel Mastercard, Details utatumiwa kwenye SMS, na pia utapewa link ambapo utaweza kuona muonekano kamili wa kadi yako.

kuhusu kikuu na ali express
Download na tumia App ya aliexpress, Kikuu hufanya nao hufanya sourcing ya item toka site zingine kama aliexpress na kukutumia wewe mnunuzi.

nina alibaba ila naona
Alibaba sio app sahihi kwako. Mfumo wake wa manunuzi ni tofauti. Alibaba huwa faa zaidi wafanyabiashara wakubwa wanaochukua mzigo mkubwa.

Bakia aliexpress,
 
Asante sana sasa kuhusu hao wauzaji feki n halali ntajuaje naomba unielekeze
 
Hakuna wauzaji feki aliexpress. Ni jukumu lako kukagua vyema bidhaa unayohitaji.
Mkuu kumradhi nahitaji msaada wako, nahitaji kununua TV na Fridge Kwa njia ya online, je naweza fanikiwa hili? Sijawahi kuagiza kitu chochote kutoka inje...!
 
je naweza fanikiwa hili?
Ndio waweza kufanikiwa.

Ila tambua changamoto

Ghalama ya manunuzi + usafirishaji + kodi = Huwa ni kubwa sana, ukilinganisha na ghalama ya manunuzi ya bidhaa husika hapa nchini kwa wafanyabiashara.

Hivyo ni vyema kwa bidhaa kama TV au fridge ukanunua hapa hapa nchini
 
Nashkuru Mkuu nimekupata vizuri
 
Ndio waweza kufanikiwa.

Ila tambua changamoto

Ghalama ya manunuzi + usafirishaji + kodi = Huwa ni kubwa sana, ukilinganisha na ghalama ya manunuzi ya bidhaa husika hapa nchini kwa wafanyabiashara.

Hivyo ni vyema kwa bidhaa kama TV au fridge ukanunua hapa hapa nchini
Samahani, vipi kuhusu Zanzibar maana naskia kule vitu vya electronic ni bei nafuu tofauti na Dar, una uzoefu na manunuzi ya huko?
 
Back
Top Bottom