Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Niacheni ntafanya kwenye Jumia na Kikuu yangu nlozoea via Tigo Pesa, Airtel Money, M Pesa .....mambo ya Pay Pal sijui CRDB master card yanawenyewe
 
Tatizo lao hawa China Post hawatabiriki mzigo unaweza ukawahi sana au ukachelewa sana, so kuepuka usumbufu mi huwa natumia SingPost pekee japo gharama zao ni juu kiaina, lakini ni uhakika ndani ya wiki tatu mzigo upo
.
Kweli jamaa mara nyingi wiki 4-5.
Mimi simu na vingine vya haraka Sing post, vingine China post registered ila vitu vidogo vidogo nisivyo na haraka navyo navitupia small packet plus
 
Mambo ya 4PX Singapore Post OM pro haya.
Mzigo nimeagiza tarehe 21/04/2018 umefika tarehe 25/07/2018.


Hiyo hapo
 
Mambo ya 4PX Singapore Post OM pro haya.
Mzigo nimeagiza tarehe 21/04/2018 umefika tarehe 25/07/2018.

View attachment 1166888
Hiyo hapo
View attachment 1166891
Hao jamaa nyoko sana yaani zimetimia 96 days hapo.
Mimi naagiza Via Sing Post mzigo unafika then naagiza mwingine unafika, Narudia kufanya hivyo kama mara nne mizigo yote Raundi 4 Inafika fresh na kuacha wewe ukiendelea kusubiri😁😁😁
 
Shenzi zao Seller wa Ebay kwa kuendeleza Mchezo wa kuremove items siku chache mbele baada ya kufanya manunuzi.
top seller wao wenyewe ni wa kuwasaka kwa torch alafu wengi hawaship Tanzania.
Wacha tukomae na wachina wetu wa Aliexpress,Banggood na Gearbest hata vitu vya Thamani ndogo unaweza kuvitrack fresh.





 
Ndio zao hizo mkuu!!
Ebay si salama bora Amazon nawakubali,
Hasiyejua la kufanya kwenye hizi mambo ndio keshaliwa hapo
 
eBay now days sio trusted kabisaaaa! Mimi eBay tangu nimeuziwa G-Shock fake niliachana nao muda mrefu sana. Mchina naye anazidi kuchanja mbuga na Alibaba group.
 
Hv wadau simu imeandikwa unlocked lakin labda ni Korea version huku kwetu inaweza fanya kazi vzuri?
 
Leo siku ya tatu mzigo umeingia ni simu lakini naambiwa custom wapo nao na siambiwi chochote cha kufanya...je nifanye nini kwa wazoefu kwa hatua hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…