Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Msaada kwa mtu ambaye amewai agiza pikiki na vifaa spare part za pikipiki anielekeze mchakatuo wa kodi ya ivo vifaa inavo fanyika
 
Wakuu nimeona kuna kuorder mzgo aliexpress nauliza kama unapoorder mzgo unalipia au utalipa mzigo ukiwa available? ,naomba kufaham n vip ntafahamu kama order ikiwa tayar ?
 
Seller akisha ship mzigo utatumiwa update na Aliexpress, na utapewa tracking number ili uwe unaufuatilia mzigo mpaka utakapofika posta uliyotumia
Nimetumiwa hivyo...je ndio tracking no hiyo!?
Na je nafatiliaje mzigo kwa kutumia tracking no.

Usinichoke mkuu.
 
Hivi jamani kuna mtu humu ndani aliyewahi kununua bidhaa mtandaoni na shipping yake ikafanywa na kampuni ya Yanwen Economic Air Mail?. Maana kuna siku nilikuwa napitapita mtandaoni nikaona watu wakiwa wameipondea vibaya sana kutokana na huduma zake mbovu za usafirishaji. Na kabla ya hapo, bila kujua nilikuwa nimeagiza parcel tatu na shipping yake kupitia hiyo kampuni toka tarehe 4/5/2019 hadi leo sijapokea mzigo wangu. Ila mizigo nilyosafirishiwa na kampuni zingine ilishafika.
 
Mimi nilshawahi Agiza mzigo ukasafirishwa na huyo agent lkn update ya Mwisho ni may 16 mzigo ulikuwa posted to counter south Africa, mpaka Leo haujafika tanzania, nilishafungua dispute na nilisharudishiwa fedha zangu, shipper mwingine wa hovyo ni Malaysia post
 
HIZI NI OUTCOME FEEDBACKS NZURI NDUGU MAANA ZITATUSAIDIA KUJUA MAPEMA KABLA HATUJAFIKIA PABAYA AS WHERE YOU ONCE PATH THROUGH... I HOPE MTATUSAIDIA TENA NA TENA HUMU JF
 
GREAT LESSON I CAPTURED TODAY.. BROTHER UBARIKIWE SANA. FOR SURE TECHNOLOGY HAIEPUKIKI ULIMWENGU HUU WA SASA HUSUSANI E-COMMERCE.
 
Inabidi tuwe makini aisee, ndo kujifunza hivyo.
 
hivi jamani nataka kuuliza kwa mfano umenunua bidhaa na ishaletwa unaenda kuichukua wapi na process zinakuwaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…