Jifiche!

Jifiche!

Tz-guy

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
436
Reaction score
88
BABU: Mjukuu wangu nenda kajifiche, mwalimu wako anakuja maana hujaenda shule leo.
MJUKUKUU: Babu kajifiche wewe maana jana nilimwambia umekufa!
 
duh kumbe na jukuu nalo ni ziro tu kama babu..!
 
hapo babu yuko na mjukuu wake je angekuwa na baba wa mjukuu(mtoto wake babu) ingekuwaje?hapo maaana yake ni kwamba hiyo familia nai hatari kwa urongo hawafai hata kidogo.
 
Hahahaaaaa...........Jamani umeniacha hoi..Nimeipenda sana hii.
 
Back
Top Bottom