Jiepushe na Mapenzi/mahusiano

kama yanataka kuniua yaniue tu bhaana, Ila mapenzi siwezi kuacha labda yaniache yenyewe..!!
Ahsante..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Depal
🀣🀣 mapenzi yanakupenda, kila unapoenda yanakufata. Kwanini uyatekeleze?

Wai,, Let Love Lead πŸ˜‰πŸ˜‹β€οΈ
 
🀣🀣 mapenzi yanakupenda, kila unapoenda yanakufata. Kwanini uyatekeleze?

Wai,, Let Love Lead πŸ˜‰πŸ˜‹β€οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eti jamani, kwanini niyaache yasipitie na kwangu..!?

always Sweetheart..!!❀️❀️
 
Unaitwa kujitenga na Dunia mrudie aliyekuumba anatoa amani ya kweli.Ukimwamini na kumtumikia Kila siku atatunza ndoa Yako katika shida na raha.
 
Zaman mambo haya yalifunzwa JANDONI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…