Jiepushe na Mapenzi/mahusiano

Ni vizuri.ila usije kulia tu ukiachwa na kutishia kuua.
Jiandae mentally and emotionally!
 
Ku Do kupo tu ndugu
Nakubali kupoo..ila sasa pachika mimba mtu asie sahihi mlikutana kupozana nyege tu...ndo matokeo unasikia mama kamchoma visu kamla mwanae kisa baba hamtaki tena

Ndo mana nakwambia tumia akili sio moyo pekee
 
Kwa vijana wa sasa..hizo zote ulizotaja ni tabia zao za kawaida na haziepukiki
 
Tunaishi kwa matarajio hilo ndio kosa
Pia tunawekeza hisia deep kiasi ukiumizwa tu unayumba

Halafu unaposema anachokitafuta nje anaweza kipata ndani inategemea anatafuta nini,mme una kipato cha chini ye anadanga kuhongwa milion utampatiaje na huna hela?
Mwanaume anatafuta mambo machafu huwezi kufanya kama mke mwache tu aende.jikaze akishapata anachotaka basi arudi mlee familia.kikubwa ujilinde tu.
 
Binafsi sijui nikoje huwa siwazi kuhusu mahusiano ninachowaza mm ni kuzagamuana tu so mtu akinipea then akaenda zake siwazi hta kdgo na km ananipea na ananipenda bc najitahidi kwenda nae sawa
Uko sawa.ila acha zinaa.kama unaweza oa huyo unaeenda nae sawa!
 
Mapenzi bila hisia ni hakuna mapenzi.

Unapopenda kunaendana na hisia kwa huyo mtu, hivyo ni ngumu kutofautisha labda Wanaume ndiyo tunaweza ila sio wanawake.

Kuhusu tamaa, kila mmoja aridhike na yule aliyenaye.
 
Tushakuwa malaya tayari..tuna uzoefu hatyumbishwi[emoji38][emoji38][emoji38]

Ukiniacha leo week ijayo ukinitafuta nakuuliza we nani kwani? Mtu bakize ndo nani sikukumbuki[emoji38][emoji38][emoji38]
Utaduwaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hayo ukiyapitia sana bila kupotea matokeo unakuwa imara.nakumbuka nlivokua nalia hadi macho yanavimba kisa kiboyfriend hapo udogoni.

Ila sasa kwa hawa miaka 40 unafanya mbo ya ajabu nashangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli mapenzi kwangu sio kitu cha kunifanya niumie au nitesekee,

Sijui labda huko mbeleni, ila kwa sasa nehiiii.
 
Umeshawahi kufua nguo nyingi na kuanika kambani kisha baada ya kumaliza kufua kamba ya kuanikia ikakatika na mahali hapo uwanja una vumbi la kutosha? Unajua maumivu yake?

Joking [emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ