Mazoea tu na zile memories ndio zinaumizaHivi inakuajee mtu unaumia au kuteswa na mapenziii?? Mapenzi yapii kwan? Haya ya watu wazima walio kutana huku kila m1 akiwa na meno yote 32, na hawakuzaliwa pa1???
Hapanaa kwa kweliiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hayohayooHivi inakuajee mtu unaumia au kuteswa na mapenziii?? Mapenzi yapii kwan? Haya ya watu wazima walio kutana huku kila m1 akiwa na meno yote 32, na hawakuzaliwa pa1???
Hapanaa kwa kweliiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😩😩😩Ishu sio pesa..mbona celine dion kaisha na utajiri wake baada ya kumpoteza mumewe?
Ishu ni vile deep unapozama halafu hauko mentally strong kukabili lolote litakalotokea..just incase.
Hapanaa wala siafikii hili dear.Mazoea tu na zile memories ndio zinaumiza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilitaka nimzabue dada angu makofi, kwa kua uwezo cna, nkaishia kumchambaa tyuuh.Ndo hayohayoo
Siku mwenzenu kaachwa anatishia kulipua nyumba waunguze na nyie kisa bwanaake...yaani[emoji38][emoji38]
Ku Do kupo tu nduguNi kweli ila tumia akili.usiendeshwe na moyo pekee
Tushakuwa malaya tayari..tuna uzoefu hatyumbishwi[emoji38][emoji38][emoji38]Mapenz mapenz mapenz hili janga sijui kalileta nani linaumiza na kuuwa baadh ya watu ila dahh .. nashkr mm nimevuka kipengele hiki asaiv mapenz hayaniumiz tena kbsaa ..ingawa wanasema km mapenz hayakuum ww ushakua malaya tyr
Kbsaa m mwenyewe akili zangu nakutongoza upyaa kna kwamba sijawahi kukuona m nataka maumiv maisha yenyewe usumbufu na mpenz pia yanisumbue aiseee mungu kaniona kunitoa wivu huuTushakuwa malaya tayari..tuna uzoefu hatyumbishwi[emoji38][emoji38][emoji38]
Ukiniacha leo week ijayo ukinitafuta nakuuliza we nani kwani? Mtu bakize ndo nani sikukumbuki[emoji38][emoji38][emoji38]
Utaduwaa
Wapo.ni wale wasiojali.wako strong!Mi naamini hakuna baunsa kwenye mapenzi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hayo ukiyapitia sana bila kupotea matokeo unakuwa imara.nakumbuka nlivokua nalia hadi macho yanavimba kisa kiboyfriend hapo udogoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilitaka nimzabue dada angu makofi, kwa kua uwezo cna, nkaishia kumchambaa tyuuh.
Unalia kisa mtu hata hukuzaliwa nae, kwan urungu anao yeye pekee akee?? Lol.