Oooh!
Huyu marehemu nilikuwa sijamuona kama mika 10 hivi. Nilipokuwa Tanzania tulifanya naye kazi shirika la Bima la Taifa makao Makuu DSM.
alikuwa amejaliwa uwezo/kipaji kikubwa cha kuongea kutetea maslahi ya wafanyakazi. Kwenye vikao/mikutano ya wafanyakazi aliweza kujenga hoja pasipo kuogopa na kuisimamia kwa uhakika na vielelezo.
Je, hakuwahi kuomba kugombea alipoenda huko Maswa uchasguzi wa mwaka huu?