Aisee yale taliyotabiriwa yametimia,mwana dada lady jaydee alijaza watu wengj sana hadi ukumbi ukawa mdogo mpaka mashabiki.wake wakakasirika,magari mpaka barabarani parking zilikuwa za kuvizia yaani watu walijaa mno kumsuport,kwa kweli ilikuwa faraja sana siku ya jana,MP TO THE P,RAY,SHAMSA,SANDRA,JOHN MNYIKA na wasanii kibao wa bongo movie walikuwepo kutoa support.thank for showing love