Niliangalia pengine nikasema kwasababu ya msiba ngoja nisiseme. Inaonekana Mbowe yupo serious kuna jambo anasema! Lukuvi anacheka (habari ya msiba hapo) na huyo mama kakata jicho na sura ngumu kweli
Labda kama sarcasm inserted lakini kwa jinsi alivyokunja mabega yake kwa ndani na mikono yake ilivyojifunga (boundary) ni dhahiri kuwa hafurahishwi na anachokiona/kisikia. Mtu anaweza kudanganya facial expression (tabasamu au kununa) kwasababu toka utoto wengi hufundishwa kutabasamu mbele za watu au kwenye kamera lakini si rahisi kudanganya other body parts (torso) unless uwe umejifunza kudanganya (mfano corn artists, wanasheria, majasusi n.k)
Ni kwamba alichokuwa anakiongea mbowe kilikuwa kinaelezea mtu ambaye hakufanya jambo jema kwa hiyo huyo mama akawa anamchukia mtu anayezungumziwa kwenye stori ya Mbowe. Kama alikuwa hammind mbowe angekaa mbali bana. Otherwise naungana na ST.Ivugha kuwa yuko in love.