Jicho ndo habari ya mjini

Kwa ujumla mwili wote wa mwanamke unavutia, macho,mziwa, uso, midomo, mashavu, shingo,nywele, kiuno, hipsi, miguu, kucha, mpangilio wa meno mdomoni, vidole vya miguu, suti nk, nk.

Lakini mimi nafsi yangu hasa inapenda mwanamke mwenye mkia.
Churaaaaaaaa
 
Pigeni danadada wee! Lakini chura ndio habari yote!kwanza chura hazeeki yule!bibi yangu ameondoka duniani kizee lakini ana chura wa haja hatumkumbuki kwa sura yake mzuri wala nini kila watoto wa kike wakizaliwa katika familia wanalinganishwa tu "huyu hamfikii marehemu bi x au huyu ndio kalirithi haswa la bi x"
 
Awe mzuri na sifaa zote mnazozitaja hapo kwangu hamna kitu
Nachoamini hizo sifa ni za mchepuko ambae hutadumu nae miaka mitano,
Hizo sifa zoooote zinaisha baada ya miaka kumi au kumi na tano kugunfulika

Kwangu mke ni akili nanuwezo wa kupambanua mambo, anipe changamoto sio za kunilazimisha nitafute anunue chura wa kichina
Anayeona mbele ,
Ninae jivunia kuwa nae,
Hapo hua natamani sana
 
Katika vitu vyooooooote duniani, Mwanamke angukua bidhaa ningekua na GODOWN.
Sema sasa kwa hili la wako kua wasaidizi ndo wamekua KUPE
 
Nimestuka kweli nikajua JICHO lile la nyuma
 
Me nlijua lile jicho linguine kumbe hili la kawaida?jicho unalifanyaje la kawaida?wakati unaenda kula papuchi?ukifika papuchi inatoa harufu kama prawns waliolala nje ya friji tangu juzi?unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…