Jicho lililopotea

Nlipoona Kichwa cha habar nikajua wahuni wamekula jicho na umepoteza marinda..
 
Macho machoni
Uoni uonekenao
Wazizi kwa wana
Mafunzo adhimu

Bazazi
 
Nasikia na mkuu wa kaya anawssiliana na mkewe kwa kutumia kofia akiiweka upande ujue huyu mgen usimletee hata maji akiivua akaiweka gotin huyu mgeni mletee chakula na vitu kmhivyo
 
Nasikia na mkuu wa kaya anawssiliana na mkewe kwa kutumia kofia akiiweka upande ujue huyu mgen usimletee hata maji akiivua akaiweka gotin huyu mgeni mletee chakula na vitu kmhivyo
 
Nmemkumbuka Bi mkubwa isee
 
mshana jr Kweli weye ni jiniasi. Ulikaa wapi ukaliwaza hili?? Yaani hili ni somo tosha kwa Kungwi. Kicheni patii ndio lingelikuwa somo someka hili. Lakini makungwi wa leo, Sijui wamelogwa na nani jamani. Namaanisha wewe kungwi weye, njoo kwa mshana jr ujifunze ya kukiokoa kizazi hiki. Sio mnabaki kuwafunza ati "Usitosheke na figa moja, tafuta la tatu ndo ugali utasongeka. Upuuzi mtupu kusifiana michepuko
 
Nasikia na mkuu wa kaya anawssiliana na mkewe kwa kutumia kofia akiiweka upande ujue huyu mgen usimletee hata maji akiivua akaiweka gotin huyu mgeni mletee chakula na vitu kmhivyo
 
Sio mnabaki kuwafunza ati "Usitosheke na figa moja, tafuta la tatu ndo ugali utasongeka. Upuuzi mtupu kusifiana michepuko
 
Ufundi wao umehamia kitandani, wakata viuoni mikono mfukon kwa mwanaumw
 
Nimekumbuka mbalii, jicho la bimkubwa si haba, akikuangalia tu utaelewa anamaanisha nini, kuna siku nipo Kwa jirani napiga msosi na mtoto mwenzangu ,naskia mama ananiita nikakausha naendelea kula ,ilibidi aanze msako Wa nyumba Kwa nyumba si ndo akanikuta nipo nakula hilo jicho alilonitupia niliona kabisa Leo ndiyo Leo nikirudi home ananiua huyu, akasema tu aah kumbe yupo huku basi, yule mama akamwambia mwache amalizie kula na mwenzie akaitikia " haya akimaliza aje namuhitaji akaondoka,

Yaani hata sikumaliza kula nikachomoka fasta namfata nyuma ,anazuga umemaliza kula kwani? Nikamjibu nimeshiba nisamehee mamaa, nalia kabla hata sijadundwa
, niliskia tu akiniuliza humu ndani sipiki?nikajibu unapikaa wee kilichofata ni vibao mixer mwiko



Ila hawa watoto Wa sikuizi mmh, ni mwendo Wa "Junia don't do that " huku unamchekea yaani "huyu mtoto"
 
Hahahaha! Huo muda Junia anaambiwa don't do that! Naye utamsikia akijibu I don't play with you mom! Si umenikataza kula kwa kina Gift..( Alaaaaaa!)
 
nimekumbuka zamani
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…