google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
Alafu nilipoona jicho nikashangaa hiiiii jicho lipi ? Kumbe lile na mama daaah hapo sawa.Nikiwa mdogo, Mama yangu alikuwa anawasiliana nami kwa macho..., bila kutamka na nilikuwa namuelewa vizuri!!
Jicho hilo silioni siku hizi miongoni mwa akina mama.
Ilikuwa wageni wakija nyumbani, mimi kama narukaruka na kucheza mbele ya wageni bila staha, kulikuwa na namna fulani ya mama kuniangalia ilimaanisha "toka hapa[emoji2955][emoji2955]". Nilielewa mara moja na kutii!!
Ilikuwa wageni wakila chakula nami kutaka kudowea, basi kulikuwa na uangaliaji wa mama ambao ulimaanisha " ukijaribu tu nitakuchuna ngozi ukiwa hai[emoji3166][emoji3166]!" lakini wakati huohuo kwa wageni uso wake ulimaanisha "endeleeni tu, huyu dogo ameshakula...[emoji28]."
Ilikuwa mkiwatembelea ndugu na ukataka kulilia kitu cha watu, kulikuwa na jicho fulani hivi toka kwa mama lililoonyesha kuwa "Ukifanya ng'ee tu tukifika nyumbani nitakukaba shingo, sitaki ujinga..[emoji3064]"
Lakini wanawake wa leo, namaanisha akina mama wa leo ehhh..., vioja. Macho yao yamepofushwa na nini sijui..! Labda ni hizi kope za bandia wanazozivaa au hizi rangi wanazopaka kwenye nyusi[emoji1352][emoji3130]!!
Kusema ukweli macho yao hayana mawasiliano na watoto wao[emoji41][emoji41]
Wazazi wetu wa zamani, Mungu awajaalie maisha marefu. Ninyi ndo mlitutengeneza tukawa hivi tulivyo leo. Hatuna tamaa ya vitu vya watu..........
Nakala:
- Wanaume wote
- Akina mama vijacho wote
Hii kitu ni ukweli mtupu mzee mloziNikiwa mdogo, Mama yangu alikuwa anawasiliana nami kwa macho..., bila kutamka na nilikuwa namuelewa vizuri!!
Jicho hilo silioni siku hizi miongoni mwa akina mama.
Ilikuwa wageni wakija nyumbani, mimi kama narukaruka na kucheza mbele ya wageni bila staha, kulikuwa na namna fulani ya mama kuniangalia ilimaanisha "toka hapa[emoji2955][emoji2955]". Nilielewa mara moja na kutii!!
Ilikuwa wageni wakila chakula nami kutaka kudowea, basi kulikuwa na uangaliaji wa mama ambao ulimaanisha " ukijaribu tu nitakuchuna ngozi ukiwa hai[emoji3166][emoji3166]!" lakini wakati huohuo kwa wageni uso wake ulimaanisha "endeleeni tu, huyu dogo ameshakula...[emoji28]."
Ilikuwa mkiwatembelea ndugu na ukataka kulilia kitu cha watu, kulikuwa na jicho fulani hivi toka kwa mama lililoonyesha kuwa "Ukifanya ng'ee tu tukifika nyumbani nitakukaba shingo, sitaki ujinga..[emoji3064]"
Lakini wanawake wa leo, namaanisha akina mama wa leo ehhh..., vioja. Macho yao yamepofushwa na nini sijui..! Labda ni hizi kope za bandia wanazozivaa au hizi rangi wanazopaka kwenye nyusi[emoji1352][emoji3130]!!
Kusema ukweli macho yao hayana mawasiliano na watoto wao[emoji41][emoji41]
Wazazi wetu wa zamani, Mungu awajaalie maisha marefu. Ninyi ndo mlitutengeneza tukawa hivi tulivyo leo. Hatuna tamaa ya vitu vya watu..........
Nakala:
- Wanaume wote
- Akina mama vijacho wote
Mama Kijacho mtarajiwa mekuelewa kwa nguvu zoote!Nikiwa mdogo, Mama yangu alikuwa anawasiliana nami kwa macho..., bila kutamka na nilikuwa namuelewa vizuri!!
Jicho hilo silioni siku hizi miongoni mwa akina mama.
Ilikuwa wageni wakija nyumbani, mimi kama narukaruka na kucheza mbele ya wageni bila staha, kulikuwa na namna fulani ya mama kuniangalia ilimaanisha "toka hapa[emoji2955][emoji2955]". Nilielewa mara moja na kutii!!
Ilikuwa wageni wakila chakula nami kutaka kudowea, basi kulikuwa na uangaliaji wa mama ambao ulimaanisha " ukijaribu tu nitakuchuna ngozi ukiwa hai[emoji3166][emoji3166]!" lakini wakati huohuo kwa wageni uso wake ulimaanisha "endeleeni tu, huyu dogo ameshakula...[emoji28]."
Ilikuwa mkiwatembelea ndugu na ukataka kulilia kitu cha watu, kulikuwa na jicho fulani hivi toka kwa mama lililoonyesha kuwa "Ukifanya ng'ee tu tukifika nyumbani nitakukaba shingo, sitaki ujinga..[emoji3064]"
Lakini wanawake wa leo, namaanisha akina mama wa leo ehhh..., vioja. Macho yao yamepofushwa na nini sijui..! Labda ni hizi kope za bandia wanazozivaa au hizi rangi wanazopaka kwenye nyusi[emoji1352][emoji3130]!!
Kusema ukweli macho yao hayana mawasiliano na watoto wao[emoji41][emoji41]
Wazazi wetu wa zamani, Mungu awajaalie maisha marefu. Ninyi ndo mlitutengeneza tukawa hivi tulivyo leo. Hatuna tamaa ya vitu vya watu..........
Nakala:
- Wanaume wote
- Akina mama vijacho wote
Mmmmhhh!!Ukiacha jicho...
Wamama wana misonyo fulaninkila mmoja na maana yake, kuna msonyo mmoja huo mrefuuuu una mlio kama starter inayozingua, halafu lazima uambatane na kurushiwa kitu chochotr kipo karibu hapo...
Ukiacha jicho...
Wamama wana misonyo fulani kila mmoja na maana yake, kuna msonyo mmoja huo mrefuuuu una mlio kama starter inayozingua, halafu lazima uambatane na kurushiwa kitu chochote kipo karibu hapo...
Mmmmhhh!!
Ebu tuonee huruma
AimenNakuombea sana
Uko sahihi [emoji1780]Mekosea kwani [emoji73]
Nikiwa mdogo, Mama yangu alikuwa anawasiliana nami kwa macho..., bila kutamka na nilikuwa namuelewa vizuri!!
Jicho hilo silioni siku hizi miongoni mwa akina mama.
Ilikuwa wageni wakija nyumbani, mimi kama narukaruka na kucheza mbele ya wageni bila staha, kulikuwa na namna fulani ya mama kuniangalia ilimaanisha "toka hapa[emoji2955][emoji2955]". Nilielewa mara moja na kutii!!
Ilikuwa wageni wakila chakula nami kutaka kudowea, basi kulikuwa na uangaliaji wa mama ambao ulimaanisha " ukijaribu tu nitakuchuna ngozi ukiwa hai[emoji3166][emoji3166]!" lakini wakati huohuo kwa wageni uso wake ulimaanisha "endeleeni tu, huyu dogo ameshakula...[emoji28]."
Ilikuwa mkiwatembelea ndugu na ukataka kulilia kitu cha watu, kulikuwa na jicho fulani hivi toka kwa mama lililoonyesha kuwa "Ukifanya ng'ee tu tukifika nyumbani nitakukaba shingo, sitaki ujinga..[emoji3064]"
Lakini wanawake wa leo, namaanisha akina mama wa leo ehhh..., vioja. Macho yao yamepofushwa na nini sijui..! Labda ni hizi kope za bandia wanazozivaa au hizi rangi wanazopaka kwenye nyusi[emoji1352][emoji3130]!!
Kusema ukweli macho yao hayana mawasiliano na watoto wao[emoji41][emoji41]
Wazazi wetu wa zamani, Mungu awajaalie maisha marefu. Ninyi ndo mlitutengeneza tukawa hivi tulivyo leo. Hatuna tamaa ya vitu vya watu..........
Nakala:
- Wanaume wote
- Akina mama vijacho wote
Kwamba mleta mada ana ujauzito[emoji848]Mama Kijacho mtarajiwa mekuelewa kwa nguvu zoote!
Pole sana mama,next time umfundishe kama mwanaoUmenikumbusha mbali sana mshana jr nilikuwa na bwana mdogo mmoja uyu nazani wa 90's na kalelewa ajui jicho hili tupo kwenye kikao sehemu akaanza lopoka nikamkazia jicho kuwa hiyo mada apotezee hakinielewa kabisa nikamkazia tena wala.hakunielewa nikakaza tena unajua kilichotokea mbele ya kadanasi akaniuliza kaka vipi mbona sikuelewi unaniangalia[emoji3][emoji3][emoji3] dah nilikuwa mdogo galfa nikazuga tu hapana endelea
Baada ya ile meeting ndio nikamwambia eti sikuelewa ungenitumia meseji au kimemo nikasema matoto ya siku hizi bure kabisa