Jicho la tatu: Nape keep CCM under pressure

Bunge live,goli la mkono,cyber crime haya yanamtafuna sasa! Malipo ni hapa hapa duniani
 
Kitendo alichofanyiwa Nape ni unajisi mkubwa wa uhuru kuongea na kinatakiwa kulaaniwa na watanzania wote sijajua ni nani kwasasa atakuwa na ubavu wa kulikemea ilo iwe ndani ya CCM au serikali hii. Na ningemshauri amfungulie kesi yule askari akiyemtolea Bastola.
Tafsiri ya askari kwako ni nini? Ulinipa lini huo uaskari?
 
Nape ni sisimizi tu ndani ya ccm, hata yeye analijua hilo

Chura ni mdogo kuliko Tembo lakini kwa udogo wake anaweza kumfanya huyo Tembo asinywe maji!!! Alipokuwa mwenezi CCM huyu Nape alikuwa insider hivyo ana hard drive iliyojaa data muhimu zote za CCm; he should be handled carefully like nuclear material lest he decides to be an Assange!!!
 
SISI WAKRISTO, NAABI WETU YESU KRISTO ALITUONYESHA MFANO MKUBWA KUHUSU UTII.
YESU KRISTO ALITII MAMLAKA YA PILATO HADI KIFO, KIFO CHA MSALABA.
YESU KRISTO ALIKUWA NA NGUVU ZA KI MUNGU KUWEZA KUANGAMIZA JESHI LA PILATO KWA KUTAMKA TU. LAKINI HAKUFANYA HIVYO.
NAPE ALIKUWA SAHIHI KATIKA KILA JAMBO ALILOFANYA KUHUSU KUKEMEA UTARATIBU ULIOTUMIKA KUWASULUBU WAHENGA AU WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA NA UVAMIZI WA STUDIO ZA CLOUDS FM.
LAKINI HAKUWA MTII KWA MAMLAKA ILIYOKUWA JUU YAKE.
HAKUFANYA MAWASILIANO NA BOSI WAKE ILI KUJUA MSIMAMO WAKE KUHUSU VITENDO VYA MKUU WA MKOA KUHUSU MADAWA YA KULEVYA NA UVAMIZI WA STUDIO.
TUSEME TU UKWELI SWALA LA NAPE NA MAKONDA WALILICHUKULIA KI BINAFSI ZAIDI NA KILA MOJA ALITAKA KUONEKANA YUKO SAHIHI NA ANA NGUVU KULIKO MWENZAKE.
LAKINI ALIYESHINDA NI YULE ALIYEKUWA ANAUNGWA MKONO NA MKUU.
NAPE ALIJUA TU KWAMBA KWA MAKUBWA ALIYOIFANYIA CCM, ASINGESHINDANISHWA NA MAKONDA AMBAYE HISTORIA YAKE NDANI YA CHAMA INATIA MASHAKA NA PIA ELIMU YAKE NAYO NI YA KUUNGA UNGA.
SIKU ZOTE KAMA WEWE NI MWAJIRIWA TII MAMLAKA.
KUAJIRIWA NI LUGHA LAINI (POLITE LANGUAGE) YA UTUMWA.
UKIAJIRIWA UNAPEWA NAMBA.
UKITAKA KUTOKA KAZINI LAZIMA UOMBE RUHUSA.
UKIZEEKA MWAJIRI HAKUHITAJI TENA, ANAKUSTAAFISHA ILI UENDE NYUMBANI UKAFE.
 
Back
Top Bottom