St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,231
ala basi subiri nikuulize maswali haya
1)mwarabu ni nani?
2)waarabu wapo katika makabiila makuu mangapi? yataje,
3)mavazi ya waarabu ni yapi? (kumbuka waarabu sio watu wa aina moja) na mavazi yanatofautiana,
4)usilamu unapishana na mila za kiarabu zipi?(maana umesema umewasoma,naamini majibu yako yatatusaidia tujue uelewa wetu juu ya WAARABU)
5)haki zipi za binadamu walizo keuka waarabu(wa dini zote mayahudi,wakristo na waislamu,na kuna waarabu wa dini ya hindu)
6)haki zipi walizokeuka waislamu?
hope utanisaidia kunipa ufahamu zaidi hapa,
Huoni kuwa tumeshatoka nje ya mada na bado unataka niendelee kukufahamisha ambayo ulikuwa huyajui,anzisha mada inayojitegemea katika hayo maswali yako na nitakueleza kadri ya uwezo wangu na nina imani wengi watakusaidia pia ili uweze kuwafahamu vizuri hawa watu..