Jicho la Mungu vs Mwanadamu

Naenda kumalizia kujenga handaki langu hapa Makwale,jirani na matema beach just in case Bi Joyce akilianzisha, ntarudi!
 
raha ni pale makahaba na wauza miili aka changudoas wanapokamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la uzembe na uzururaji majina yao utasikia,zuhura,asha,hamida,mwanahamisi zainabu,amina,hadija,na mengi ya jamii hiyo....

heri mwema anayetembea uchi kuliko mdhambi aliyevaa nguo
 
unajuwa hawa ndugu zetu ni wajinga au wapumbavu,Sir God haangalii mavazi,na hyo mavazi wanayoyasema wao n ya eneo fulani huko ndo vazi lao la asili na siyo dini,tatizo elimu yao imewapitia kushoto,watakuwa wajinga mpaka Yesu atakaporudi hakuna kuwastua waacheni kama walivyo
 
ali hubiri nini?

aliwaambia musali lkn muuze miili yenu?

mungu anapenda vimini ? muendele kuvaa hivo na mumche mungu?

kwanza nikusafisha ndani alafu uje nje.

eti inawezekana muumini wa kweli awe mchafu madhabi ya kutamanisha watu na kuuza mwili wake kwa mavazi machafu ?

Mbona una hasira babu, kwani nani anajiuza pale? Kuvaa suruali sio kujiuza. Na wewe uonaye mapaja ukayatamani ni dhahiri mawazo yako yapo huko.

Na kwa taarifa yako, malaya wa Mombasa huvaa Bai Bui mpk wakapata jina la BuiBui. We ukifika Mombasa uakataka mambo yenu yale ulizia BuiBui, na kama ulikuwa na hamu na vitoto vya kiarabu basi inshallah na wewe utaonja kwa mara ya kwanza
 
unajuwa hawa ndugu zetu ni wajinga au wapumbavu,Sir God haangalii mavazi,na hyo mavazi wanayoyasema wao n ya eneo fulani huko ndo vazi lao la asili na siyo dini,tatizo elimu yao imewapitia kushoto,watakuwa wajinga mpaka Yesu atakaporudi hakuna kuwastua waacheni kama walivyo

kama huyo SIR GOD. haangalii mavazi, basi yesu vazi lake lingekuwa bukta juu wazi!

na mapadri na masheikh msiktini wangefanya hivyo hivyo ilikuwa karibu na SIR GOD
 
kama huyo SIR GOD. haangalii mavazi, basi yesu vazi lake lingekuwa bukta juu wazi!

na mapadri na masheikh msiktini wangefanya hivyo hivyo ilikuwa karibu na SIR GOD

Yesu angezaliwa Florida angepiga Jeans tu kama Obama. Kuvaa kwake kanzu ni sababu alizaliwa Middle East na si imani.

Kama unayo nauli nikupeleke Mombasa ukaone matumizi ya Kanzu na Baibui, hawavai 'kofuli' huko ndani ili wakifika uchochoroni wanabenua tu kazi inafanyika.
 
tatizo akili za kukopeshwa ndio zinawasumbua

kuna point mbili hapa

1) huwezi kuwa unamwogopa mungu kwa kuvaa mavazi mabaya,na huwezi kuona muumini wa kweli kavaa kimini alafu anakuambia mungu haangalii mavazi bali moyoni.basi kama mungu anaangali moyoni tungemwona bi maria katuvalia kimini na kijeans

2)si katai kama mavazi sio imani kamili,bali imani huwa moyoni kisha kwenye mwonekano wa nje.mtu mchafu ni mchafu tu akitaka kufanya dhambi atafanya popote kanisani/msikitini hajali awe amevaa mavazi ya masister wa kanisani au mapadri na masheikh.

lkn tujue kuwa mavazi ya kujistiri mwili vizuri ni moja ya kitambulisho muhimu sana kwa muumini wa KWELI,

huwezi kumwona dada kaingia kanisani na bikini alafu anakuambia mungu haangalii nje anaangalia ndani tu,kweli huyu anamwogopa mungu ?

Kwa hiyo mkuu unamanisha NJE kunashabihi NDANI?

Kama ni hivyo basi nipo sahihi kwenye mawazo yangu ya awali. Siku zote niliamini kuwa ukiona mtu kaweza kufuga videvu kidevuni ambako ni karibu na mdomo anaotumia kula, akaweza kuviacha mpk vikageuka rangi na kuwa vya hudhurungi kwa uchafu, basi mtu huyo kwapa lake linaua mbu kila linapofunuliwa. Jenga picha sasa downstairs kukoje
 
Mbona una hasira babu, kwani nani anajiuza pale? Kuvaa suruali sio kujiuza. Na wewe uonaye mapaja ukayatamani ni dhahiri mawazo yako yapo huko.

Na kwa taarifa yako, malaya wa Mombasa huvaa Bai Bui mpk wakapata jina la BuiBui. We ukifika Mombasa uakataka mambo yenu yale ulizia BuiBui, na kama ulikuwa na hamu na vitoto vya kiarabu basi inshallah na wewe utaonja kwa mara ya kwanza

HEBU SOMA HAPA

wapi nimesema kuvaa suruali ni kujiuza?

nguo yeyote ile ambayo inashika mwili na inaonesha ya ndani basi hiyo sio fashion kama unavyodanganya wewe na mimi,lengo kuu ni kuendeleza uzinifu na kumkandamiza mwanamke.

subiri kidogo,
UISLAM hujalazimisha kuvaa baibui,kama unavyo elewa wewe na wenzako.uislamu unaruhusu nguo yeyote ile hata suruali ya jeans lakini iwe ime fuata sheria za dini ya kiislam.isiwe inabana na isiwe inaonesha mwili wa mhusika(yaani zile nguo zinazo angaza).

kuva nguo za kubana kwa mwanake wa kiislamu anaruhusiwa akiwa na mumewe na anaruhusiwa kuto kujifunika kote kama yupo na maharim wake.

kila kona duniani kuna malaya,na wala sisemi mtu kuvaa baibui sio malaya,
 
Mungu haangalii kama wanadamu wanavyoangalia. Mungu wetu ni wa huruma na upendo si Mungu wa hukumu za macho kama yalivyo macho yako. Ingekuwa hukumu ya Mungu iko kama macho yako yanavyotazama wote tungekuwa tumeangamia. Jicho lako limeona hayo lakini hujui hata jicho lako kumtazama na kumhukumu mwenzako hivyo na wewe unauendea mlango unaofikiri ni watu fulani tu watakaouendea.

Nakushauri ubadilishe mtazamo wako, kuvaa baibui na hijabu sio utakatifu kwani anaweza kuvaa hivyo ili kuwaridhisha wanadamu labda mume wake au wazazi wake lakini inawezekana akaenda kufanya uzinzi akiwa amevaa mavazi hayohayo au wengine wanavaa hayo mchana usiku ukamkuta na kimini, au anavaa anapotoka nyumbani akifika kwenye kijiwe chake anavua anavaa nguo za kazi. Nguo sio kigezo cha kutosha peke yake cha kumhukumu mtu. Hapa sitetei wale wanaovaa vibaya nakataa mtizamo wa kidini na uzawa wa mtu.
 
Tatizo kubwa la ndugu zetu ni kuchanganya wivu wa kiarabu ,tamaduni za kiarabu na Mungu,huko uarabuni kiwango cha joto ni zaidi ya 45c,na wamemvalisha mwanamke liguo jeusi linalosharabu mwanga ili asitoke ndani na hata akitoka basi cha moto akione kwa kuunguzwa na jua ,wakati wanaume wamehakikisha kuwa wao wanavaa kanzu nyeupe rangi inayoakisi mwanga na kupunguza miale inayomchoma mwilini.Sasa ndugu zangu mnaopokea dini kimapokeo tu mnataka kuwalazimisha na dada zenu wajifunike minguo mwili mzima kwa kisingizio kuwa watamwona Mungu hamuoni kuwa ipo siku mtakayotakiwa kujibu kwa unyanyasaji huo mliomfanyia mwanamke..??
 
527093_432953680081367_2086151748_n.jpg

Niko bize nawashangaa Wanyasa, eti wanajifua.
Hili ndilo jicho langu usiku huu
aISEE HATA MIMI NAWASHANGAA HAWA JAMAA , ETI WANATAKA ZIWA KWA NGUVU, SI WALIBEBE WALIWEKE KATIKATI YA NCHI YAO KAMA WANAWEZA?
 
Tatizo kubwa la ndugu zetu ni kuchanganya wivu wa kiarabu ,tamaduni za kiarabu na Mungu,huko uarabuni kiwango cha joto ni zaidi ya 45c,na wamemvalisha mwanamke liguo jeusi linalosharabu mwanga ili asitoke ndani na hata akitoka basi cha moto akione kwa kuunguzwa na jua ,wakati wanaume wamehakikisha kuwa wao wanavaa kanzu nyeupe rangi inayoakisi mwanga na kupunguza miale inayomchoma mwilini.Sasa ndugu zangu mnaopokea dini kimapokeo tu mnataka kuwalazimisha na dada zenu wajifunike minguo mwili mzima kwa kisingizio kuwa watamwona Mungu hamuoni kuwa ipo siku mtakayotakiwa kujibu kwa unyanyasaji huo mliomfanyia mwanamke..??

unaujua utamaduni wa waarabu wewe au?

usiwe wale watu wakimwona mwarabu basi ni mwislamu,na tamaduni za kiarabu basi ni za kiislamu,

vizuri ungeuliza,
 
unaujua utamaduni wa waarabu wewe au?

usiwe wale watu wakimwona mwarabu basi ni mwislamu,na tamaduni za kiarabu basi ni za kiislamu,

vizuri ungeuliza,

Ninaujua kwa kuusoma,naninaujua kwa kuishi nao,na hakuna kiumbe kinachoongoza katika dunia kukiuka haki za binadamu kama mwarabu kwa kisingizio cha dini,na nyie mliopumbazwa kuwa uarabu ni ustaarabu basi kila mwaka mnafunga safari kwenda huko eti nguzo ya dini,hujui kuwa huo ni utalii waliojiwekea ambao wala hawana gharama za kuutangaza kwa kuwa wanajua tayari wameshakamata soko.Jiulize swali rahisi tu,Mungu wako yuko wapi mpaka kila kitu ukifanyacho uelekee uarabuni(kibla)kwani ukisali sala yako chini ya muembe kijijini kwako bila kuelekea uarabuni Mungu wako hatakusikia..??
 
ala basi subiri nikuulize maswali haya

1)mwarabu ni nani?
2)waarabu wapo katika makabiila makuu mangapi? yataje,
3)mavazi ya waarabu ni yapi? (kumbuka waarabu sio watu wa aina moja) na mavazi yanatofautiana,
4)usilamu unapishana na mila za kiarabu zipi?(maana umesema umewasoma,naamini majibu yako yatatusaidia tujue uelewa wetu juu ya WAARABU)
5)haki zipi za binadamu walizo keuka waarabu(wa dini zote mayahudi,wakristo na waislamu,na kuna waarabu wa dini ya hindu)
6)haki zipi walizokeuka waislamu?

hope utanisaidia kunipa ufahamu zaidi hapa,
 
ala naona mumeokoka hahaha kwani mimi nasema waislamu wote ni SAFI?

kwetu iringa nasikia maria,gresi,gloria,happy vp hapo?

umewasahau wahaya asilimia kubwa ni..... alafu ni malaya mbaya,wanajiuza hadi kwa kindergaten
 
Back
Top Bottom