Jicho la Mungu vs Mwanadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho la Mungu vs Mwanadamu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Nazjaz, Aug 8, 2012.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,347
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Yote ni macho ya wanadamu,
   
 3. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  NANI KAKUDANGANYA

  Mbinguni hatuendi kwa Mavazi!! Bali Roho safi.

  YESU ALIWAHUBIRIA HADI MALAYA...
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kuvaa ka-suruali ka kubana na nyodo za kike ni kipimo tosha cha jehunum au ahera??

  vipi kama huyu aliyevaa hijabu ni mzinifu mnafiki, mshirikina/mwanga??, mungu huangalia moyo si kama mwanadamu aangaliaye lipstick, wanja, wigi, pedo, vitopu, nokia ya tochi na menginyo ya kipuuzi.....
   
 5. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ali hubiri nini?

  aliwaambia musali lkn muuze miili yenu?

  mungu anapenda vimini ? muendele kuvaa hivo na mumche mungu?


  kwanza nikusafisha ndani alafu uje nje.


  eti inawezekana muumini wa kweli awe mchafu madhabi ya kutamanisha watu na kuuza mwili wake kwa mavazi machafu ?
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Niko bize nawashangaa Wanyasa, eti wanajifua.
  Hili ndilo jicho langu usiku huu
   
 7. w

  wa home JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  uyo mwenye nyeusi anaelekea kaburini au?
   
 8. Dodoma one

  Dodoma one JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mie napita kushoto bana kulia naona kama kuna moto jamani,kushoto naona na malaika wapo. By the way napita tuu waungwana.
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nazjaz, hayo mavazi (hijab) na matendo mema ndio yanakupeleka peponi. Usihukumu watu kutokana na mavazi tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Kaaaaaaz kwelikweli,wivu wa mwarabu unapochanganywa na dini........
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Raha ni pale makahaba na wauza miili aka changudoas wanapokamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la uzembe na uzururaji majina yao utasikia,Zuhura,Asha,Hamida,Mwanahamisi Zainabu,Amina,Hadija,na mengi ya jamii hiyo....
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Hilo jicho la Mungu liko wapi? Mbona mimi silioni?
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mkuu uko sawa kabisa binadamu kwa macho yao wanaona na kuamini kabisa kuwa aliyejifunika namna hiyo basi ataiona pepo,wanasahau kuwa Mungu hatazami mavazi yako bali ni usafi wa Roho yako.Niliwahi kutembelea Zanzibar mwaka1993 na sikuamini binti niliyemuona amejifunika hivyo mchana,ilipofika usiku nikamkuta mtaani anajiuza,sasa sijui mchana mungu wake alikuwa macho nausiku mungu wake amelala hivyo hamuoni..??
   
 14. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kuna mmoja alijisitiri vizuri akaenda kudokoa sadaka msikitini.
  Kwa habari kamili muulize Gea Habib
   
 15. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ala naona mumeokoka hahaha kwani mimi nasema waislamu wote ni SAFI?

  kwetu iringa nasikia maria,gresi,gloria,happy vp hapo?
   
 16. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo akili za kukopeshwa ndio zinawasumbua


  kuna point mbili hapa

  1) huwezi kuwa unamwogopa mungu kwa kuvaa mavazi mabaya,na huwezi kuona muumini wa kweli kavaa kimini alafu anakuambia mungu haangalii mavazi bali moyoni.basi kama mungu anaangali moyoni tungemwona bi maria katuvalia kimini na kijeans

  2)si katai kama mavazi sio imani kamili,bali imani huwa moyoni kisha kwenye mwonekano wa nje.mtu mchafu ni mchafu tu akitaka kufanya dhambi atafanya popote kanisani/msikitini hajali awe amevaa mavazi ya masister wa kanisani au mapadri na masheikh.


  lkn tujue kuwa mavazi ya kujistiri mwili vizuri ni moja ya kitambulisho muhimu sana kwa muumini wa KWELI,


  huwezi kumwona dada kaingia kanisani na bikini alafu anakuambia mungu haangalii nje anaangalia ndani tu,kweli huyu anamwogopa mungu ?
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mleta mada nimeshindwa kuielewa akili yake
   
 18. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye red ndo akili zako
   
 19. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa.... ngoja niede kazini.
   
 20. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  MadameX mbona sijahukumu mtu? Nimeleta huu uzi ili kila mtu auchangie kwa jicho lake, lakini jicho la Mungu litajulikana siku ya kiama
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...