washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 717
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia baadhi ya wabunge wakati wakichangia mijadala mbalimbali wakiitaka Serikali iwaangalie kwa jicho la huruma.Baada ya kutafakari kwa muda namna hilo jicho la huruma linavyofanana, nafikiri wadau linafanana na hili hapa chini au mnasemaje?