Jicho Gani Hili: Prof. Muhongo Amewafanya Nini Hawa?

Jicho Gani Hili: Prof. Muhongo Amewafanya Nini Hawa?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,266
Reaction score
44,691
Mweh.. sijui ni nini lakini picha hii inaweza kuzua maswali mengi. Alikuwa anatoa mchango wa mifuko 100 ya sementi kujenga shule ya sekondari kwenye jimbo lake. Ila hawa wadada/wamama wawili ...

1565055338990.png
 
Sospeter Mtaalam Wa Kugandisha Gas, Haa Inakuwa Kama Uji. Huyu Na Mwijage Walitumaliza Kwa Propaganda 😂😁😀😃😄😅
 
WAFADHILI WAKE HAO WANAMUANGALIA KWA MAKINI ASIJE AKASEMA WATAFAIDIKA NA NINI KUTOKA JIMBONI KWAKE.
 
sijawai kuona professor muongo kama proffessor muhongo... huu usemi ulisikika bungeni miaka ya escrow
 
Back
Top Bottom