Jibuni basi bilioni 45 za ADP Monduli zimeenda wapi?

Jibuni basi bilioni 45 za ADP Monduli zimeenda wapi?

Wakati unatafakari tuleteee majibu ya hoja hz za report ya CAG kwa wizara ya ujenzi kwa ukaguzi wa 13/14.

Kwenye report ya CAG wizara ya magufuli alibaini yafuatayo:

◆TZS 252,975,000,000 Hazikulipwa kwenye kujenga barabara mpya kama ilivyokuwa imepangwa.

◆TZS 3,048,365,229 CAG hakuibaini matumizi yake maana ake hazikuwa na supporting documents yaani vocha ilikutwa yenyewe ikiwa tupu au ikiwa na nyaraka pungufu.

◆TZS 36,638,175,000 malipo ambayo yalifanyika lkn hayakutolewa taarifa yoyote hadi kipindi cha ku-report kinafika.

◆TZS 6,175,786,959 zililipwa kwa wakandarasi ambao hawakuorodheshwa kama wadeni wa wizara.

Yote haya yalifanyika Magufuli akiwa waziri mwenye sifa za kusimamia vema wizara.

Kuwa rais wa nchi hapana magufulu bado labda awe rais wa wakandarasi.

Anatakiwa kuwa jela tu si Rais wa makandarasi kwani hiyo pesa na zile za ununuzi wa vivuko feki pamoja na uuzaji wa nyumba za serikali kisha akajiuzia nyumba kibao peke yake zingine akazigawa kwa michepuko yake.
 
CCM inahitajika kuhuisha uhai wa kitengo cha propaganda ikiwa ni pamoja na kuwapeleka mafunzo

Ni ngumu sasa kujua propaganda zipi za upinzani zipi za Chama Tawala....

Kuna haja pia ya kuchuja nani akabidhiwe propaganda ili usiwape mavuvuzela kazi ya propaganda
Kitengo chao bado wapo Analogy hawajui kuwa tekinologia imebadilika ndio maana mbinu zao zote Safari hii zimegundikika kirahisi
 
Zipo wapi pesa za sukari, pesa za bomba la gesi, pesa za watumishi hewa ?
 
Hakika wewe ni jingalao
Hivi na wewe unaamini ya kwamba hizo bilioni 45 zililiwa kweli? Mwaka gani?
Pili, bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2015/16 ni bilioni 456 so huo mradi kwa Monduli pekee ni sawa na 10% ya current budget ya wizara ya maji, na wewe unaamini Halmashauri moja inaweza kutengewa 10% ya budget ya Wizara moja?

Pili Halmashauri nyingi total budget kwa idara zote zinacheza kwenye 20-40 bilions, so Hawa Monduli waliweza kumeza bajeti nzima ya Hamashauri into only one project? Mind you tena sio idara bali ni ka project tu, maana idara ina projects nyingi na total bajeti kwa idara ya Maji Wilayani huwa hazizidi hata bilioni 5

Kajipangeni upyaaa
 
Ccm wanaumia kuona watu hawawaelewi,kwa ukongwe wa ccm walitakiwa wake waseme wamewafanyia watu nini na si ahadi kibaoooooo zisizotekelezeka!
 
Zipo wapi pesa za sukari, pesa za bomba la gesi, pesa za watumishi hewa ?
Umesahau za ESCROW hasa zile zilizolipwa kule stanbic kwenye sandarusi na viroba cash Bil 270+!!
 
Monduli kumepelekwa bilioni zaidi ya mbili kwa ujenzi wa hospitali kilichojengwa ni majengo mawili tu.

Mkuu wa Idara ya Afya kwa maana ya DMO na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri wamefanywa nini?

Acha kuongea pumba unajua, mambo mengine mnajitia aibu
 
Nyie wataka mabadiliko tuambieni basi hizi bilioni 45 kwa ajili ya mradi wa maji Monduli zimeenda wapi.

Monduli wananchi wanakunywa maji machafu wakigombea na Ng'ombe.

Napenda nikusahihishe sio ADP Ni ADB pia hakuna mradi ambao pesa zinapitia kwa mbunge ,miradi yote Ina taratibu zake za malipo . Na pia miradi ya ADB hii pesa ndio kabisa inakuwa monitored na kulipwa directly kutokea Ethiopia.
ADB Ni wafadhili Tu na wanahakikisha pesa zao zinafanyiwa kazi hii sio pesa ya serikali.So in short mbunge pesa za miradi huwa hazipitii kwake
 
Ameuliza swali na nyienamuuliza maswala ya escrow.. Kwann msimpe majibu kwanza mnaofahamu
 
Kwa taarifa yako karibu council zote zina madeni ya miradi ya maji.

Wizara iliahidi ingepeleka pesa katika level ya council na haijafanya hivyo hadi sasa!

Hata hivyo miradi ya pesa kiasi hicho huratibiwa na wizara moja kwa moja na malipo hufanywa na wizara. Ni dhahiri unaongea kitu usichokifahamu.
 
Kitengo chao bado wapo Analogy hawajui kuwa tekinologia imebadilika ndio maana mbinu zao zote Safari hii zimegundikika kirahisi

Edo kaondoka na kila kitu chake mpaka propaganda zooote.Jamaa sasa hivi vibogoyo hawang'ati.hihihiii hiiii hii.Hurumaaaa
 
Tahadhali kwa wana CCM: Tujiepushe kujadili masuala yanayohusu ufisadi kwani imebainika Watanzania wanajua CCM ndio mafisadi. Hivyo hiyo hoja ya ufisadi ikiibuliwa ni kama tunajivua nguo sisi wenyewe.

Wayforward: Tujikite kuelezea Ilani ya chama chetu.
 
Nyie wataka mabadiliko tuambieni basi hizi bilioni 45 kwa ajili ya mradi wa maji Monduli zimeenda wapi.

Monduli wananchi wanakunywa maji machafu wakigombea na Ng'ombe.

Zilijenga nyumba za serikali
 
Ameuliza swali na nyienamuuliza maswala ya escrow.. Kwann msimpe majibu kwanza mnaofahamu

Nani ana wajibu wa kutoa maelezo kuhusu fedha za serikali? Je, ni wananchi ama serikali yenyewe? Mwananchi ana wajibu wa kulipa kodi, serikali ina wajibu wa kutekeleza miradi ya kimaendeleo na kijamii hivyo ina kila sababu ya kuueleza umma kuhusu namna ambavyo imetumia pesa zao katika utekelezaji husika.

Wana CCM tubadilike.
 
Hakika wewe ni jingalao
Hivi na wewe unaamini ya kwamba hizo bilioni 45 zililiwa kweli? Mwaka gani?
Pili, bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2015/16 ni bilioni 456 so huo mradi kwa Monduli pekee ni sawa na 10% ya current budget ya wizara ya maji, na wewe unaamini Halmashauri moja inaweza kutengewa 10% ya budget ya Wizara moja?

Pili Halmashauri nyingi total budget kwa idara zote zinacheza kwenye 20-40 bilions, so Hawa Monduli waliweza kumeza bajeti nzima ya Hamashauri into only one project? Mind you tena sio idara bali ni ka project tu, maana idara ina projects nyingi na total bajeti kwa idara ya Maji Wilayani huwa hazizidi hata bilioni 5

Kajipangeni upyaaa

Unaujua mradi wa ADP au unaropoka tu.ukiitwa lofa unachukia!
Mtoto mdogo yako ni nepi na pini kubwa tu!mgongee baba chumbani akuelimishe halafu urudi hapa jamvini.
 
Kamuulize mteule wa rais mkurugenzi wa monduli
 
Unazijua fedha za ADP na matumizi yake?
Muulize baba halafu uje kwenye hoja!

Jiulize kisha ujijibu..........nyumba za serikali zilijengwa na pesa za nani na zilipouzwa bei chee pesa ilipelekwa wapi?
 
Back
Top Bottom