Jibu analo Sumaye mkuu.
Jibu analo Sumaye mkuu.
Nyie wataka mabadiliko tuambieni basi hizi bilioni 45 kwa ajili ya mradi wa maji Monduli zimeenda wapi.
Monduli wananchi wanakunywa maji machafu wakigombea na Ng'ombe.
IFISADI =CCM ktk fikra na mionyo ya watz.Magufuli ni shemu ya watu tunaotaka wakomboa.Nimeuliza kwa Chadema waliokuwa wanajidai kutetea wananchi dhidi ya ufisadi.
Nyie wataka mabadiliko tuambieni basi hizi bilioni 45 kwa ajili ya mradi wa maji Monduli zimeenda wapi.
Monduli wananchi wanakunywa maji machafu wakigombea na Ng'ombe.
Hii propaganda peleka kwa uncle yako
Maji Monduli yamepelekwa kata ya Moita .,Monduli magharibi na baadhi ya maeneo jirani na Kata ya Mateves na Kisongo na kwa taarifa yako kuna miradi mitatu mikubwa inaendelea mmoja kwa msaada wa World bank , wa pili ni halmashauri ya wilaya imetoa pesa na watatu mradi wa maji wa visima unaofadhiliwa na kanisa
Mtoe data kwa fact na sio kukurupuka