Mkuu kwani sisi ni mkaguzi mkuu wa serikali?Nyie wataka mabadiliko tuambieni basi hizi bilioni 45 kwa ajili ya mradi wa maji Monduli zimeenda wapi.
Monduli wananchi wanakunywa maji machafu wakigombea na Ng'ombe.
We ----- nini? Hayo maswali unamuuliza nani hapa? Nenda kamuulize DED au CAG.
Usitumie jina lako jingalao kuhalalisha ujinga, hili ni jukwaa la GT na sio wajinga
Wakati unatafakari tuleteee majibu ya hoja hz za report ya CAG kwa wizara ya ujenzi kwa ukaguzi wa 13/14.
Kwenye report ya CAG wizara ya magufuli alibaini yafuatayo:
◆TZS 252,975,000,000 Hazikulipwa kwenye kujenga barabara mpya kama ilivyokuwa imepangwa.
◆TZS 3,048,365,229 CAG hakuibaini matumizi yake maana ake hazikuwa na supporting documents yaani vocha ilikutwa yenyewe ikiwa tupu au ikiwa na nyaraka pungufu.
◆TZS 36,638,175,000 malipo ambayo yalifanyika lkn hayakutolewa taarifa yoyote hadi kipindi cha ku-report kinafika.
◆TZS 6,175,786,959 zililipwa kwa wakandarasi ambao hawakuorodheshwa kama wadeni wa wizara.
Yote haya yalifanyika Magufuli akiwa waziri mwenye sifa za kusimamia vema wizara.
Kuwa rais wa nchi hapana magufulu bado labda awe rais wa wakandarasi.
Acha ushabiki jibu hoja!hapo monduli kuna historia ya DED na DT kugombana kutokana na ufusadi.kama hujui kaa kimya.
Wakati unatafakari tuleteee majibu ya hoja hz za report ya CAG kwa wizara ya ujenzi kwa ukaguzi wa 13/14.
Kwenye report ya CAG wizara ya magufuli alibaini yafuatayo:
◆TZS 252,975,000,000 Hazikulipwa kwenye kujenga barabara mpya kama ilivyokuwa imepangwa.
◆TZS 3,048,365,229 CAG hakuibaini matumizi yake maana ake hazikuwa na supporting documents yaani vocha ilikutwa yenyewe ikiwa tupu au ikiwa na nyaraka pungufu.
◆TZS 36,638,175,000 malipo ambayo yalifanyika lkn hayakutolewa taarifa yoyote hadi kipindi cha ku-report kinafika.
◆TZS 6,175,786,959 zililipwa kwa wakandarasi ambao hawakuorodheshwa kama wadeni wa wizara.
Yote haya yalifanyika Magufuli akiwa waziri mwenye sifa za kusimamia vema wizara.
Kuwa rais wa nchi hapana magufulu bado labda awe rais wa wakandarasi.
Nyie wataka mabadiliko tuambieni basi hizi bilioni 45 kwa ajili ya mradi wa maji Monduli zimeenda wapi.
Monduli wananchi wanakunywa maji machafu wakigombea na Ng'ombe.
Nimeuliza kwa Chadema waliokuwa wanajidai kutetea wananchi dhidi ya ufisadi.
Billion 251 wizara ya Ujenzi zimeenda wapi?zile pesa za Rada zilizorejeshwa zimeenda wapi? Chenji bunge la katiba zimeenda wapi? Pesa za escrow, buzwagi, mabehewa feki, kivuko feki cha 1978 pesa iliyozodi imeenda wapi?