MSHILWANOGI
Member
- Jun 5, 2011
- 11
- 7
HujumaNi riwaya gani ya A.E MUSIBA ambayo ilizuiliwa kabala hata ya kuchapishwa na imetoka hivi majuzi kupitia kampuni ya Orion Nairobi Press?
Mimi mdau wa vitabu sana. Atakayejibu kwa usahihi na wa kwanza, nitamzawadia kitabu hicho maramoja. Awe jijini Dar es salaam.
Swet-R ndiye kajibu kwa usahihi zaidi. Kweli ni HUJUMA. Unaweza kunitafuta kwa namba ya simu kabla ya jumamosi ili upate kitabu chako. 0744 637Hujuma
Hakika ni HUJUMA. Unaweza kuipata nakala kwa sh. 4000 kwani 4000 nyingine nitailipa kwa maana umejibu sahihi. NA UTAKUWA wa mwisho kujishindia nafasi hii.Riwaya ya hujuma
Duuh...![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Swet-R ndiye kajibu kwa usahihi zaidi. Kweli ni HUJUMA. Unaweza kunitafuta kwa namba ya simu kabla ya jumamosi ili upate kitabu chako. 0744 637 View attachment 901430415
Halafu nakitafuta sana hiki kitabu mkuu. HUJUMA na KUFA NA KUPONA. Vingine ninavyo KIKOSI CHA KISASI,NJAMA,KIKOMO. Ila nina wasiwasi na Hofu na Uchu kama niliuziwa kanyaboya. Maana kwanza vina karatasi chache tofauti na ninavyomjua E.Musiba,linovo linakuwa limejaa. Pili havionyeshi hata kampuni iliyoprint.Swet-R ndiye kajibu kwa usahihi zaidi. Kweli ni HUJUMA. Unaweza kunitafuta kwa namba ya simu kabla ya jumamosi ili upate kitabu chako. 0744 637 View attachment 901430415
HUJUMA NINACHO ndo utapata hicho kutoka kwangu.HaHalafu nakitafuta sana hiki kitabu mkuu. HUJUMA na KUFA NA KUPONA. Vingine ninavyo KIKOSI CHA KISASI,NJAMA,KIKOMO. Ila nina wasiwasi na Hofu na Uchu kama niliuziwa kanyaboya. Maana kwanza vina karatasi chache tofauti na ninavyomjua E.Musiba,linovo linakuwa limejaa. Pili havionyeshi hata kampuni iliyoprint.
Oooh...! Thank youHUJUMA NINACHO ndo utapata hicho kutoka kwangu.