JIBU SWALI USHINDE KITABU KIPYA

MSHILWANOGI

Member
Jun 5, 2011
11
7
Ni riwaya gani ya A.E MUSIBA ambayo ilizuiliwa kabala hata ya kuchapishwa na imetoka hivi majuzi kupitia kampuni ya Orion Nairobi Press?

Mimi mdau wa vitabu sana. Atakayejibu kwa usahihi na wa kwanza, nitamzawadia kitabu hicho maramoja. Awe jijini Dar es salaam.
 
Hujuma
 
Swet-R ndiye kajibu kwa usahihi zaidi. Kweli ni HUJUMA. Unaweza kunitafuta kwa namba ya simu kabla ya jumamosi ili upate kitabu chako. 0744 637
HUJUMA FINAL COVER.jpg
415
 
Ha
Swet-R ndiye kajibu kwa usahihi zaidi. Kweli ni HUJUMA. Unaweza kunitafuta kwa namba ya simu kabla ya jumamosi ili upate kitabu chako. 0744 637 View attachment 901430415
Halafu nakitafuta sana hiki kitabu mkuu. HUJUMA na KUFA NA KUPONA. Vingine ninavyo KIKOSI CHA KISASI,NJAMA,KIKOMO. Ila nina wasiwasi na Hofu na Uchu kama niliuziwa kanyaboya. Maana kwanza vina karatasi chache tofauti na ninavyomjua E.Musiba,linovo linakuwa limejaa. Pili havionyeshi hata kampuni iliyoprint.
 
HaHalafu nakitafuta sana hiki kitabu mkuu. HUJUMA na KUFA NA KUPONA. Vingine ninavyo KIKOSI CHA KISASI,NJAMA,KIKOMO. Ila nina wasiwasi na Hofu na Uchu kama niliuziwa kanyaboya. Maana kwanza vina karatasi chache tofauti na ninavyomjua E.Musiba,linovo linakuwa limejaa. Pili havionyeshi hata kampuni iliyoprint.
HUJUMA NINACHO ndo utapata hicho kutoka kwangu.
 
Back
Top Bottom