Jibu swali hili!

Nili-google habari ya Hamamd Ramadi kufukuzwa Cuf kipindi hicho ilikuwa ni hot news ndio nikaipata Jamii Forums.
 
Kutoka kwa Jaamangu mmoja hivi,siku ya mabomu gongolamboto,tulikuwa wengi nje ya madarasa usiku huo tukishangaa vitu vinavyoruka angani ,ndio jamaa akasema ngoja tupate habari zaid toka jamiiforum,
 
Kuna frnd wangu alikua ananipa story dat ndugu yake ni member wa jf n mda mwng anadiscus mambo meng ya siasa, nkavutiwa nikaingia. Huyo frnd wangu nae ni membr last wik ndo nimeijua id yake aftr kuona his coment n tha way alvyo coment nikajua 2 ndo yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom