Jibu ni miaka mingapi?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,724
12,002
Swali: Wewe una umri wa miaka sita 6,umemzidi mdogo wako miaka mitatu 3
Mdogo wako ana umri nusu 1/2 ya miaka yako.
Je? utakapofikisha miaka 70 mdogo wako atakuwa na umri gani?
Jibu...................................:rolleyes:
 
Hebu fikiri miaka kumi baadae una miaka sitini 60 na mdogo wako ana miaka thelathini 30...yaaani nusu ya umri wako.:(
Hamna Mkuu umekosea,, Swali lako limekosewa...in reality huwezi kumzidi mdogo wako miaka mitatu Alafu muda huohuo awe na 1/2 ya umri wangu. Swali lako linakubali kama nina umri wa 6 tuu .Kama ni 60 ,namzidi 3 that means yeye ana 67.Hapohapo tena namzidi nusu that means awe na 35 which totally wrong equation.
 
Sikatai mkuu,lakini msingi wa nusu 1/2 ni ngapi?
Mfano
Una shilingi elfu kumi=10,000
Mimi nina buku tano =5,000
Kwa hiyo elfu 5 ni nusu 1/2 ya elfu kumi.
Hivyo basi kama tukizidisha kwa kumi katika kila fedha 10,000 x 10 =100,000
na 5,000 x 10 =50,000
kwa hiyo elfu hamsini ni nusu ya laki.
Iweje miaka mitatu (3) useme sio nusu ya miaka sita (6)???
 
Ok
 
Point ni kwamba kaka anamzd dogo miaka 3, hyo nusu inakuja kwa sababu kaka anamiaka 6, vinginevyo hakuna nusu . hvo baada ya miaka 70 dogo atakuwa 67yrs
 
Hesabu uliwahi kupata juu ya 40?ushawahi kubahatisha hata D kweli
ya pesa napataga A+ .. lakini hii sijui nusu kaenda wapi karudi wapi nabahatisha... mkuu form 3 nilipata D karibia na C kwenye test ndiyo ikawa mwisho kila nikifanya F itakuwa ni wale niliowapita walijifanya niwafundishe wakaniloga ha ha hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom