Jibu maswali yafuatayo.

Jibu maswali yafuatayo.

Sir R

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
2,175
Reaction score
300
Muda 30minutes,
Usiibie majibu kwa mwenzako.

1. Chama gani wabunge wake wanalala bungeni?

2. Kiongozi aliyewahi kusema hajui sababu ya umasikini wa watanzani, ni nani ?

3. Chama gani wabunge wake wana tabia kuunga hoja 100% ..............................

4. Chama chenye wanachama wenye akili zinazofannana ni ...................................

5. Ni chama kimeongoza nchi ikiwa masikini zaidi ya miaka 40?
 
jibu ni moja tu, unafaulu: ni sisiemu
 
Ni SiSi au HEMU!!!!!!! Na Jibu la Pili Ni Jah.Car.yeah..........
 
Mmmh!! wenye akili zenu mie nime feli.
 
jibu nadhani utalipata kwenye signature yako..
 
Swali la kitoto. Kakojoe ukalale eeh.
 
humtihani hata kama hujui kusoma na kuandika lazima ufaulu. Hebu watanzania wote tujibu kwa pamojaaaaa..., turudie tenaaaa.... Hahaaaa
 
Back
Top Bottom